waziri wa utaratibu na mahusiano

Kazi ya Wasira ni kuingia baraza la mawaziri kisha kusikiliza baadaya kuisaini allowance!
Kwa ujumla hana kazi ya uzalishaji kwa Taifa Maana ofisi yake ni yeye na dereva wake! Binafsi nasubiri kwa hamu bajeti yake Mwezi julai itakuwa shilingi elfu ngapi
 
Kazi ya Wasira ni kuingia baraza la mawaziri kisha kusikiliza baadaya kuisaini allowance!
Kwa ujumla hana kazi ya uzalishaji kwa Taifa Maana ofisi yake ni yeye na dereva wake! Binafsi nasubiri kwa hamu bajeti yake Mwezi julai itakuwa shilingi elfu ngapi

Ni wizara geresha tu. Kama kuna bajeti itakuwa ni per diem zake na dereva wake tu pamoja na gharama za uendeshaji na matengenezo ya gari yake.
 
uratibu na mahusiano na vyama vya siasa,taasisi za dini na asasi za kiraia.kuratibu meeting nao na kuhakikisha serikali inakuwa na uhusiano mzuri na taasisi na vyama vya siasa.
 
Ukitaka kujua Wasira kazi yake ni nini, ujiulize kazi ya Kingunge Ngombare Mwiru alipokuwa katika nafasi hiyo kazi yake ilikuwa ni nini? Kimsingi hana kazi lakini anastahili kuwa na hadhi ya waziri. Kwa sababu katika ofisi hiyo hiyo ya Rais kuna waziri wa utawala bora, naye kazi yake ni nini? Kwa kuwa hawa wote hawana kazi maalum wala inayoonekana wazi kwa wananchi, haikuwezekana kuzifanya kuwa ni idara tu katika Ofisi ya Rais? Huyu ni Rais wa Matumizi, Rais mlipa fadhila kuliko yeyote aliyewahi kupita ndiyo maana kunakuwa na wizara kama hizo siyo kwa sababu zinahitajika bali kwa vile kuna watu wanalazimika kuwa mawaziri hata kama hakuna wizara zinazowahitaji!
 
WanaJF hapa huyu boxer amepewa fadhila kwa kufanikisha uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi wa 31.10.2010!!!!!!!!!!!! Ndiyo wana-wind up hivyo wenzio-wanafahamu kabisa kwamba mkwere akiondoka ndo basi fadhila zimeishia!!!!!!!!!!!!!!! Yule mzee Dr wa PhD si unajua ni kula mihogo magogoni!!!!!!!!!!!
Shamba la bibi linatafunwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wale watatu peke yao tu wamekamia kutafuna bilioni 185!!!!!!!!!!!! unadhani mchezo!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kazi ipo waziri wa mahusiano??????????????????????????????????????????????????????????? Kweli watanzania vichwa vya wendawazimu. Sana sana hii ipo kwa rweyemamu comunication and relationship.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom