Waziri Wa Ulinzi Wa Uturuki Aambatana Na Mkuu wa Majeshi Kutembelea Mpaka Wa Syria.

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Feb 21, 2020

Waziri wa ulinzi wa Uturuki, Hulusi Akar, akiwa na mkuu wa majeshi Jenerali Yaşar Güler pamoja na mkuu wa vikosi vya nchi kavu Jenerali Ümit Dündar kwa pamoja wamekagua vikosi vya majeshi ya Uturuki vilivyopo mpakani mwa Syria.

Waziri Akar, jenerali Güler na jenerali Dündar kwa pamoja wameelekea Hatay.

Katika uwanja wa ndege wa Hatay walipokelewa na kamanda wa vikosi hivyo Sinan Yayla na viongozi wengine. Akar na viongozi wengine wa jeshi wapo katika ukaguzi wa vikosi vya jeshi.
 
Back
Top Bottom