figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
BENI, DR CONGO: Waziri wa Ulinzi waTanzania, Hussein Mwinyi amewatembelea katika kambi zao wanajeshi wa JWTZ wanaolinda amani nchini humo na kuwapa pole kwa kuondokewa na wenzao waliouawa na waasi.