tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mh Dr. Hussein Mwinyi amesema Serikali imeunda Task Force inayojumuisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini ili kuhakikisha inafuatilia uhalifu unaoendelea nchini kufuatia shambulio la Meja General Vincent na Mbunge Tundu Lissu na matukio mengine nchini.