Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa aanza ziara

MASIGA

Senior Member
Aug 29, 2015
130
281
Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ameanza ziara ya kutembelea SUMAJKT ambapo Leo alitembelea Makao Makuu ya SUMAJKT na kupatiwa taarifa ya utendaji kazi na baadaye kutembelea Kiwanda kidogo cha majaribio cha kutengeneza viatu, ambapo utengenezwa jozi 50 kwa siku.

#SerikaliIpoKazini
FB_IMG_1538387555524.jpeg
 
Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ameanza ziara ya kutembelea SUMAJKT ambapo Leo alitembelea Makao Makuu ya SUMAJKT na kupatiwa taarifa ya utendaji kazi na baadaye kutembelea Kiwanda kidogo cha majaribio cha kutengeneza viatu, ambapo utengenezwa jozi 50 kwa siku.

#SerikaliIpoKazini View attachment 883183
Dah! Kweli Mgufuli kiboko! Hata huyu kaanza ziara!
Miaka yote alikuwa waziri wa Ulinzi-Afya-Ulinzi-Afya-Ulinzi........ hakuwahi kutembea nje ya Dar au nje ya Oysterbay na ofisi yake. Kumbe wa-TZ tunafundishika!
 
Nani kakwambia hakuwa akifanya ziara? Tatizo moja kwake ni kuwa hapendi makamera,ndio maana hatuoni wala kusikia akifanya ziara.
Dah! Kweli Mgufuli kiboko! Hata huyu kaanza ziara!
Miaka yote alikuwa waziri wa Ulinzi-Afya-Ulinzi-Afya-Ulinzi........ hakuwahi kutembea nje ya Dar au nje ya Oysterbay na ofisi yake. Kumbe wa-TZ tunafundishika!
 
Tangu ndege ya jeshi la Qatar ilipoingia nchini, ikatua, ikabeba shehena ya wanyamapori hai, na kuondoka bila kuguswa na jeshi letu.....
Halafu huyu jamaa kimya kama vile yeye siyo waziri wa ulinzi....nilishamtoa maana kabisa.
Mshirika wa wezi ni mwizi pia.
 
Hovyo kabisa, yaani mnaandika mtu anayeamka kuzunguka hapo dar kwamba kaanza ziara, ziara zipi hizo? Nasubiri siku akitembea mikoa kama mitatu minne hivi mkoani na akaja Kaboya ndo ntaanza kumfikilia kweli aanza kuzuru maeneo yake
 
Tangu ndege ya jeshi la Qatar ilipoingia nchini, ikatua, ikabeba shehena ya wanyamapori hai, na kuondoka bila kuguswa na jeshi letu.....
Halafu huyu jamaa kimya kama vile yeye siyo waziri wa ulinzi....nilishamtoa maana kabisa.
Mshirika wa wezi ni mwizi pia.
Ongezea mabomu ya Mbagala; Kimyaaa! Mwanasiasa bubu hafai. Kimya siyo busara ni uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Umenikumbusha na hilo mkuu, yaani huyo jamaa ni bure kabisa. Lakini wabongo walivyo wa ajabu utashangaa wanavyojidanganya kuwa anafaa!
 
The next president huyu upande ule kule
Huyu ni next wa huku... Na Mzee wake ana pigs chapuo kweli kweli ktk hii awamu...

Huko ndani wazee wana sigana sana ili watoto wao waje kula hii cake... Wakina Yusuf nk...

Ila PM Hana chake... Wakat wake ni huu... Ujao sio wake
 
Ha ha ha eti PM hana chake
 
Back
Top Bottom