Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,582
Nfugu zangu watanzania pamoja tunakubali nchi imeoza imechoka bado tunauwezo wa kuondoa uozo
mnamo dec 3 tulilalamikia upandaji wa bei za nauli ..sumatra wakaanzisha usanii kupeleka watu na kujifanya kukagua tkt na kuendelea
majuzi nikwafatilia nikakuta michezo ya kipuuzi na kipumbavu inaendelea pale na kwa wale wote waliokosa usafiri kwenda makwao naomba niwaombe radhi kw aniaba ya waziri wa uchukuzi
baada ya kelele zile wakaleta gari imekaa na m aspika na kutangaza asbh mpaka jioni bei na muda wa kuondoka mabasi uzingatiwe usiniulizewanalipwa sh ngapi ila kwa ya liontokea leo naomba hili gari lichunguzwe owner nani na wanalaipwa sh ngapi
leo n xmass nasikitika toka tar 3 sumatra ilikaa kimya huku ikijaa wizi wa wenye mabasi wakishirikiana na wahuni wachache ama mnaita wapiga debe kwa kuwapa tkt na kuziuza zaidi y sh 20'000+ zaidi ya beo ya kawaida ..basi la arusha na moshi unalipa alfu hamsini kweli??akuna tena afisa wa sumatra kufwatilia matokeo yake wanakimbilia kwenye magazeti kudai ati wamepigwa chenga huu n utoto
nasema utoto sababu mwakajana kuna watoto wa vigogo walipigwa vibaya ..niwambie kilichotokea wakaanza kusimamisha kila gari wanauliza kuna abiria alielipa zaidi ya sh kadhaa (yaan bei ya kawaida))
kila alieamdikiwa zaidi alirudishiwa hela zake na kampuni husika kabla ya kuendelea na gari wapendwa
iweje leo wanaishia kupiga kelele na ma canter yao pale mlangoni badala ya kufwatilia nani kalipa zaidi bei ya kawaida....mbaya zaidi njiani wako kama mara saba wanapanda wakishuka wanashuka n a makonda na mliowaona makonda wanaweka hela kwenye yale makaratasi
wanajifanya sijui ni kukagua ama lah wakitoa zile hela konda anapiga basi kama tunaenda kariakoo dereva aondoe huku akikimbilia mlangoni...binafsi sumatra imechoka imeoza kwa hali ile kabisa
tunaitaji kuflush bodi nzima na mkurugenzi waake kwa kuruhusu mateso ya wananchi kama ya mwezi december
mbaya zaidi nawaambia nimecheka tumefwatana na basi za msata sim2000
mbezi -sim2000
kongowe -sim2000 kama kumi+ zinaenda moshi ..zingine dereva wa ngorika shahidi zimeishia same na tumewaacha huko..mnaruhusije basi kama hizi hata kama zina wamiliki ndugu zenu ....
Waziri husika embu angalia hili swala la sikuu upya ..msifanye mateso mtu kwenda kwao kama anaenda kununua kiwanja kumbe kuona wazzazi na kurudi
cc
;mh wazir wa uchukuzi na wote waliobaki kusherehekea sikuukuu dar kwa kuachwa kisa walanguzi