Waziri wa TAMISEMI tafadhali tafuta fedha uandae semina elekeza ya wateule wapya

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Nadhani maisha yalivyo ni kwamba watoto wa viongozi wakihitimu vyuo awatafuti tena kazi wanasubiri uteuzi. Kwa ukubwa nafasi hizi zilizotoka naomba waziri atumie busara kuandaa semina elekezi la sivyo uchumi wetu utakufa kabisa.

Ni sawa mmeamua V8 zipaki nyumbani kwenu yaani baba, mama na watoto kama ilivyo kwa Mzee wa Msoga ila pamoja na hayo tuhurumieni fedh zetu.

Hawa watu mlioteua ambao awajawahi kuongoza hata darasa chuo wanakwenda kupeleka uvurundaji serikalini.
 
Back
Top Bottom