figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,888
Waziri wa TAMISEMI ameagiza mkuu wa shule ya Mbeya Day ashushwe cheo kwasababu ya kutaka kuficha ukweli wa tukio.
Katika watu ambaye angefaa kadhibiwa vkali n huyo alierekodi hyo vdeo,hzo adhabu n za kawaida shulenHuyo binti aliyeisambaza sijui anajisikiaje.
Sidhani kama alitegemea reactions kama hizi.
Watu wanaacha yamsingi wanakomalia inshu ziszokuwa na maana,shulen kuna mambo mengi zaidi ya hii,sasa wanafunz watakuja kuwanyea walimu vichwan.......hil halikuwa tatzo la kuzungumziwa kias hcho
Sema haki ya mungu?Watu wanaacha yamsingi wanakomalia inshu ziszokuwa na maana,shulen kuna mambo mengi zaidi ya hii,sasa wanafunz watakuja kuwanyea walimu vichwan.......hil halikuwa tatzo la kuzungumziwa kias hcho