Waziri wa serilikali ya ccm anaposema kidumu chadema anataka iweje ?

GATS

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
240
17
Waziri mmoja wa serilika ya CCM alipotembelea Taasisi ya Sayansi na Technolojia Mbeya. Alikutana na magumu pale alipobanwa na maswali na wasomi wa Taasisi hiyo kuwa. Kwanini Dowans ilipwe fedha zote hizo za wavuja jasho wakati inaonekana ni kampuni ya kitapeli ? Kila alipojaribu kujibu sababu zilikuwa haziwatoshelezi wahusika ndipo akajikuta anasema kidumu CHADEMA. Je alifanya makusudi au alikuwa amechanganyikiwa?
 
alikuwa anapoteza lengo ili concentration ya watu ihamie kwenye kicheko na kushangilia halafu yeye asalimike na msalaba wa DO-ONCE
 
Yawezekana pia alifanya vile kama kebehi kwa wanafunzi hao akimaanisha fikira zao zimetawaliwa na Chadema ambao wamekuwa mstari wa mbele kupinga ulipwaji wa dowans.
 
May be anawaunga mkono chadema ila hataki kuweza wazi,sasa kwa siku hiyo ilibidi tu aweke wazi ili mjue yupo upande upi

msema ukweli hapendwiii daimaaaaaa:clap2:
 
Waziri mmoja wa serilika ya CCM alipotembelea Taasisi ya Sayansi na Technolojia Mbeya. Alikutana na magumu pale alipobanwa na maswali na wasomi wa Taasisi hiyo kuwa. Kwanini Dowans ilipwe fedha zote hizo za wavuja jasho wakati inaonekana ni kampuni ya kitapeli ? Kila alipojaribu kujibu sababu zilikuwa haziwatoshelezi wahusika ndipo akajikuta anasema kidumu CHADEMA. Je alifanya makusudi au alikuwa amechanganyikiwa?

Ni mwana CHADEMA aliye ndani ya CCM. Akimaliza kazi anarudi nyumbani. Kwa taarifa yako wapo wana CCM wengi kwa magwanda lakini ni wapinzani.
 
anafagilia chama cha wasomi ndo maana!!! alipotea njia kutumikia chama cha mafisadi, akigundua atarudi home "Peoples power"
 
Back
Top Bottom