Waziri Wa Polisi Aibiwa Gari

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
GARI la Naibu Waziri wa Usalama wa Raia MOHAMED ABOUD Mohamed, lenye alama, NW-UR,aina ya GX, limeibiwa na dereva wake aitwaye Tumaini Mbaga, ametoweka tokea Jumamosi iliyopita.
 
maskini Naibu Waziri, sasa kama hadi wanaosimamia Polisi wanaibiwa si inakuwa kasheshe sasa.

Tusipoangalia kwa mtindo huu siku moja tunaweza kuamka na kukuta Ikulu imepigwa mnada! Si kuna mtu tayari kaitumia kuomba mkopo na kuiweka rehani?
 
Sasa nani atakuwa salama? Tukisema hii serikali imezidi kwa "incompetence" watu wengine wananung'unika!
 
Dereva katoweka kwamba kafa au katoweka kwamba kaondoka na gari ? Wizi umetokea lini na taarifa zimewafikia walipa kodi ambayo tulinunua hilo gari lini na polisi wanaemaje juu ya gari hilo kuibiwa ? Mazingira yapi ya wizi huu ?
 
Hakuna lawama kila mtu Fisadi dereva nae kachota chake mapema hakuna wa kumalaumu
 
Dereva katoweka kwamba kafa au katoweka kwamba kaondoka na gari ? Wizi umetokea lini na taarifa zimewafikia walipa kodi ambayo tulinunua hilo gari lini na polisi wanaemaje juu ya gari hilo kuibiwa ? Mazingira yapi ya wizi huu ?
 
Asante mikael kwa kusema ukweli,utakuta gari limeibiwa maeneo ya guest na lilikuwa na naibu waziri wa JK.halisi tupe uhalisi wa tukio lenyewe
 
MIKAEL ahasate kwa kutuweka wazi kwa hili...huyu bwana ni mlevi sana na mtu wa totoz pamoja na ustaadh wake,,,swala la kuibiwa guest ngumu hawa wanaingiaga guest na tax zenye TINTED na wakiwa wanaondoka,, wenye guest wanaamriwa waakikishe hakuna mtu arround haya yalinikuta ""NAMNANI"" GUEST HOUSE mpaka leo nikakoma .....

PILI:
Sioni jipya kama wakuu wa polisi wameanzan kijishirikisha na ujambazi kwa nini yeye asiibiwe,,inawezekana hata ""AMEJIIBIA MWENYEWE"" hao mambo yao wanayajua na mungu wao...muulizeni MWEMA
 
GARI la Naibu Waziri wa Usalama wa Raia MOHAMED ABOUD Mohamed, lenye alama, NW-UR,aina ya GX, limeibiwa na dereva wake aitwaye Tumaini Mbaga, ametoweka tokea Jumamosi iliyopita.

..hili gari limeibiwa au limetoroshwa?
 
Kuna magari mengi ya wizara hasa Landcruiser(Wanaziita Mkonga) zinaibiwa sana. Najua wizara ambayo imepoteza magari mawili hivi karibuni kwa kisingizio cha dereve kutekwa. Dereva huwa anaripoti Polisi, baadaye anarudi kazini na kupewa gari jingine. Kesi inaisha na hakuna follow up. Hii ni mara ya kwanza kusikia VX imeibiwa. Tsh 100m down the drain. This can only happen in Bongoland.
 
GARI la Naibu Waziri wa Usalama wa Raia MOHAMED ABOUD Mohamed, lenye alama, NW-UR,aina ya GX, limeibiwa na dereva wake aitwaye Tumaini Mbaga, ametoweka tokea Jumamosi iliyopita.

Iliyoibiwa gari au Serikali kupitia waziri? Gari inaibwa hai ibiwi!
 
Wamejiibia Wenyewe Hawa Hawana Mpya:::mwema Kamata Huyo Wziri Uku Akiisaidia Polisi Tutafute Huyo Mwenzaake((dreve)); Watanzania Embu Anaglieni Hili Gari Million Miamoja((100)) Tumejenga Hospitali Ngapi Pale Kiboriloloni Au Kule Kwao Pemba Ee Mungu Tusameehe Huu Ni Ufisadi Au Uuwaji??
 
Kutesa kwa zamu, kwenye hiii Fisadi nation kila mtu lazima apatepo angalau something,

ila tu isije ikawa a deal kati ya waziri na dereva wake, kuiibia serikali, mimi simuamini mtu tena bongo yetu!
 
Gari kahongwa dem na kesho atapewa another 100mil 4x4...hii ndio bongo.Je ufisadi utaendelea mapaka lini mbagala hawana maji kimara wana shida ya maji and it cost only 4mil for one kisima cha maji
 
MIKAEL ahasate kwa kutuweka wazi kwa hili...huyu bwana ni mlevi sana na mtu wa totoz pamoja na ustaadh wake,,,swala la kuibiwa guest ngumu hawa wanaingiaga guest na tax zenye TINTED na wakiwa wanaondoka,, wenye guest wanaamriwa waakikishe hakuna mtu arround haya yalinikuta ""NAMNANI"" GUEST HOUSE mpaka leo nikakoma...

pdidy..du NAMNAANI guest house hakuna malaya yeyote hapa ambaye hajafika ile old trafford ...miaka ya mwanzoni ya 90 ..ukimpeleka mbuzi pale umemmaliza maana machinjio ile ni ya kwanza kuwa na channel za kikubwa.....

hii ndio MACHINJI maaarufu aliyokuwa akiitumia MZEE MVI..tukipishana naye sana kwenye corrridor kila mmoja na hamsini zake...ndio raha ya bongo!!...kaka yake muungwana sometimes enzi hizo atakuja pale au kuna chimbo fulani la machinjo ya kiutu uzima sabasaba[MTONI]..

SASA huyu ustaadh aliyeibiwa hakuna simu poa wenye makao makuu yao pale CCM BAR ..zenj asiyemfahamu..akifika huwa wanamshangilia kwa kuwa wanakuwa wana uhakika...lakini hata hivyo jamaa ni mtu asiyekuwa na makuu wala majivuno..ni jk style!!..ila kama wazanzibar wana jidanganya hawaongozwi au hawataongozwa na mlevi wanajidanganya [except for mzee mwinyi,jumbe and wakil..]
 
halafu cha ajabu gari ya millioni mia haina insurance,halafu wananchi tunaletewa bill ya kununua nyingine ya kwenda kucharanga mizigo Guest,naona sasa haya madharau yamezidi ufisadi wenyewe....
 
..koba ..mawaziri 60 ni wengi mno na kazi haionekani ..so muda mwingi wanatumia kucharanga...dereva anasubiri nje anaumwa na mbu..akijilipa..ndio madhara haya..
 
MIKAEL ahasate kwa kutuweka wazi kwa hili...huyu bwana ni mlevi sana na mtu wa totoz pamoja na ustaadh wake,,,swala la kuibiwa guest ngumu hawa wanaingiaga guest na tax zenye TINTED na wakiwa wanaondoka,, wenye guest wanaamriwa waakikishe hakuna mtu arround haya yalinikuta ""NAMNANI"" GUEST HOUSE mpaka leo nikakoma .....

Ulifikia au ulikwenda kujipumzisha?
 
Back
Top Bottom