Waziri wa Nishati na Madini awawashia moto Wakorea kwa kumdharau

Hapa Waziri alikosea!

Jamani twendeni mbele turudi nyuma ... Hivi kwenye semina mwalikwa LAZIMA akae mpaka mwisho!!

Siku zote nafahamu ni heshima kusubiri Mgeni Rasmi afungue, na kusikia hotuba yake, lakini kinachoendelea baada ya hapo wewe ni mwalikwa tu kwa hiyo una uhuru wa kuondoka ama kubaki!

Waziri asitumie kigezo cha dharau, kwani hiyo dharau ya wawekezaji ni wao (watawala) wamewapa, kama anabisha akamuulize Sinclair!!
 
Labda kama kuna jambo jingine ambalo alikasirikia.....kama ni hilo linavyodaiwa basi Waziri Ngeleja KACHEMKA!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom