Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

Hiri li nchi silielewi mkuu. Why awaruhusu upinzani/wawekezaji waingie kama mitandao ya simu!! Aise wangeruhusu upinzani wangefanya lamaana munoo.

Tanesco ni jipu

TANESCO
Hawawezi kuruhusu hilo, TanesCo ni shamba la bibi kila mjukuu huchuma atakavyo
 
Tanzanians sometimes make me sick

Yaani nchi nzima wanaona ni haki mwanasiasa awalishe hadi na umeme wa bure,hela zitoke wapi kuwapa umeme wa 27,000/=?

Yaani umeme wa 10USD?

Serikali hizo hela inazitoa wapi kwa mfano?No such money

Serikali haina hela maana haijui kujenga mali ikauza ikapata hizo hela

Hakuna umeme wa 10 USD nchi yeyote,cha ajabu wananchi wanamuamini mwanasiasa akiongea huo upumbavu ili apate kura za wizi then after that reality strikes in

Sio mgomo ni reality,Tanesco can not deliver infrastructure of 10 USD kila nyumba,mathematically it is not possible anywhere

Mwanasiasa anaongea upumbavu,yeye mwenyewe hana hata mia,na serikali can not get money from the thin air,mwananchi anaamini

Wealth fare state hii,kila mtu anaamini anatakiwa atunzwe na government kama mtoto mdogo,anaemini hili ni kichaa

Yaani watu ambao ni wananchi wajinga wanaona waunde government agency ku solve human imperfections wakati the same government agencies zinaongozwa na wanadamu hao hao imperfect kama wao

That lunacy at its finest level!
Umeme unatakiwa ufungwe Bure Kwa Wananchi 100% . Kwani baada ya kufungiwa utawalipa umeme the rest of your life.
Pili umeme unazalishwa Kwa maji sehemu kubwa, maji ni free sio uranium.
 
nimehonga 25,000,, surveyor akakuja,,,,nikampiga Kvant ndogo.....akaomba 10,000,kakamilisha mchoro na control number.....nimelipia.....akaomba 15,000 anifungie fasta.....siku wanaafunga nikawapa 20,000= jumla ni kama 100,000 pamoja na mawasiliano,,,
runshwa ngumu sana Tanzania...ngumu mno........
Imeisha iyo umeupiga mwingi sana
 
Unahitaji takwimu? Zipo taratibu za kifata ili kupata takwimu halali kwenye taasisi lakini kama una tatizo tupatie taarifa kamili tulifanyie kazi
Wenye matatizo tuko wengi.
Mimi pia, ila sitoi namba ng'o.
Fanyieni marekebisho huduma zenu.
Siyo unakuja kutuchora tuu hapa.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu aliyelipa 27000, siku ya kufungiwa umeme walimwambia mteja awape pesa ili wamfungie, mteja alikataa mpaka sasa hajafungiwa. Ni jirani yangu, nifanyeje kumsaidia?
 
Ifike kipindi serikali pamoja na shirika la umeme nchini TANESCO iuweke wazi mfumo wa malipo juu ya usambazaji wa mradi wa umeme vijijini(REA) kwani gharama zina tofautiana sana kutoka kwa mkazi mmoja na mwingine.
 
Naomba kuuliza kwanini shirika hili(TANESCO)halibinafsishwi kama ilivo kwa makampuni ya simu nchini? Huenda tungeweza kununua 'unit' 100 za umeme kwa shilingi 1000/=.
 
Naomba kuuliza kwanini shirika hili(TANESCO)halibinafsishwi kama ilivo kwa makampuni ya simu nchini? Huenda tungeweza kununua 'unit' 100 za umeme kwa shilingi 1000/=.
labda Hawa makaburu weusi CCM wafe ndio tutapata Viongozi wenye maono hapo Kuna upigaji wa wakubwa hawawezi kuruhusu upinzani TANESCO itakufa kifo Cha Mende
Chaliiiiiiiiiiiiiiii!
 
Warudishe tu gharama ya kuingiza umeme iwe kama zamani!
Hii ya 27,000/ naona tanesco wanachemka

Ova
 
Hizo ndio faida na hasara za 27,000/= mpimaji akija kupima ana kuambia hapa pana hitaji nguzo hivyo huwezi kulipia hadi tufikishe nguzo karibu na wewe lini mpaka wapate bajeti yani mimi nijenge nyumba nishindwe kupata umeme Kisa bei 27,000 kwani hizo bei zao za zamani tulishindwa kulipia?kikubwa waseme mimi kama mteja niko tayari kulipia nguzo niruhusiwe

Kuna sehemu watu wanaomba kuongeza meter ( mita separation) ambayo haihitaji mita .
Wote hao hamna aliyekwisha kuunganishiwa
 
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Umeongea ukweli mtupu Tanesco wanazingua
 
Mimi nimelipia hiyo Elfu 27.000/- tangu mwezi wa 6 surveyor amekuja lakini ngoma imekuwa nzito kuniletea nguzo na kunifungia umeme Cha ajabu jirani amelipia nyuma yangu tayari ameletewa nguzo na tayari umeme kwake unawaka. Sitaki kusema kuwa kuna mambo ya rushwa kwa sababu sina ushahidi ila hii Wale walio karibu na waziri wamfikishie taarifa kuwa Agizo lake limedharauliwa.
 
Pamoja na yote hayo Tanesco mkuranga kuna urasimu sujawahi kuona watu wame omba umeme na wamesha lipia mpaka leo hawajaunganishiwa umeme mh waziri njoo office ya Tanesco mkuranga ujio ee madudu yaliyopo, na sijui hio kodi ya mjengo utakusanyaje
 
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Tuliambiwa hivyo hivyo

tukalipiaa bei kubwa wakatufungia

hakuna shirika pale
Wote wezi.
clowns.
 
Back
Top Bottom