Waziri wa Nishati aagiza wakuu wa wilaya kukamata na kuwaweka mahabusu wananchi watakaoshindwa kuunganisha umeme kwenye nyumba zao baada ya miezi sita

Ujinga ujingatuuu, maisha magum afu mtu analazimisha watu kuweka umeme kwenye nyumba zao kwa nguvu, hivi kama hawana hela na huu usawa unahis maksudi au hali yawalazm,, hivi mbona mawaziri wahivi hawatufai!

Kumbuka tanesco yenyewe inahtaji hongo kupata nguzo, inahtaj hongo kupata mita, af mtu haya yote hajuii, watu huko vjjn nishdaa wapo baadh wana hadaika hawawez pata hata elf 50 af mtu anawapangia bajet ya maelf,, mungu atunusurutu jaman
 
ILA sio kuwaweka watu mahabusu
Waziri ndio keshatoa amri, asipoikanusha, ama mkubwa wake kuipinga basi wakiamua kukukamata watakukamata na kukuweka mahabusu, mkuu wa wilaya ana mamlaka ya kumweka mtu ndani kwa saa 48.
 
Source: RadioOne stereo
Screenshot_20210220-114711.jpg
 
Kwani kuingiza umeme majumbani ni lazima? Au hiari ya mtanzania? Mbona kama akili za waziri zime bunguliwa na sumu kuvu!!!!!? Itafika kipindi kila mtanzania atatakiwa kula nyama kilo 10 kwa wiki na atakaye shindwa atakaa rupango......!!!!!? Hii ndio nchi yenye uhuru it's wonderful....!!!!
 
Aiseee Huwa wanadeal na mambo madogo madogo tu Hawa jamaa tuna viongozi mizigo aiseee!
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom