off-sir
Member
- Dec 21, 2019
- 65
- 55
Weka details zako kamili ili tujue wewe ni mwalimu nani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka details zako kamili ili tujue wewe ni mwalimu nani!
Shida ya odo ummy ni overthinking kila kitu anataka akijengee hoja anasahau kuwa overthinking can lead to a misleadingHuyu mama ni mkurupukaji sana
Kwa sasa mfumo wa ajira unaruhusu watu kuomba kazi kwenye vituo wanavyo vipenda moja kwa moja lakini hata hivyo suala la uhamisho linachagizwa na mambo mengi ambayo yanafanya watu wahame mfano kuugua, kuuguliwa, matatizo ya kifamilia, na imani za kishirikina.
Kwahiyo hata kuomba kwenye kituo cha kazi directly bado sio mwarobaini wa tatizo. Atleast serikali iboreshe mazingira ya vijijini au kutoa motisha kwa walimu wanaopangiwa vijijini itasaidia kupunguza tatizo kwa kiasi fulani
Hili linashangaza sana mkuu, na hao wanaopangiwa vijijini ni wale wa watoto masikini.Kwa hiyo
mwalimu wa mjini yeye aishi mjini miaka yake yote ?