Waziri wa Mkapa aomba haki itendeke baada ya kudhalilishwa mtandaoni

Mange hawezi kushitakiwa kutokana na kwamba huwa anasema ukweli usiopendwa Tanzania lakini unakubalika Marekani.
 
Mange hawezi kushitakiwa kutokana na kwamba huwa anasema ukweli usiopendwa Tanzania lakini unakubalika Marekani.
Ukweli gani hasa ambao huwa anausema?

Kama kukana kuwa ndoa yake imekufa na baadaye kuja kuumbuka?
 
Hata wakimuogesha na tindikali?
She has some sort of a martyr wish, so that could make her day in a sense. It could be like a badge of honor for her, give her seemingly empty life more meaning and make her even more vocal.

You would be surprised how some minds work.
 
Ukweli gani hasa ambao huwa anausema?

Kama kukana kuwa ndoa yake imekufa na baadaye kuja kuumbuka?
Issues nyingi anazosemaga hasa kuhusu wana siasa wa hapa bongo huwa zina end up kuwa kweli kwakuwa huwa wanashindwa kukanusha!
 
Issues nyingi anazosemaga hasa kuhusu wana siasa wa hapa bongo huwa zina end up kuwa kweli kwakuwa huwa wanashindwa kukanusha!
Huwa wanashindwa kukanusha au huwa wanampuuza?

Mtu kukaa kimya haimaanishi kuwa kashindwa kukanusha.

Kuna mambo mengine huwa ni ya kipumbavu kiasi kwamba hata mtu ukifikia hatua ya kuyakanusha ni sawa na kuyapa umuhimu ambao hayastahili kupewa.

Kwa hiyo usichanganye kati ya kushindwa kukanusha na mtu kupuuza kinachosemwa na mtu ambaye keshaonyesha ana matatizo ya akili.
 
Usituwekee hizo kashfa hapa. Wanaotaka wakazitafute mitandaoni. Huyu mwanamke anajua kukashifu, hatupendi kusoma uchafu wake
Nani kakamwbia kuwa anaandika uchafu?nyie kwenu raha Shigongo akiwaandika celeb uchwara kama akina sepenga tu ila wakiandikwa hawa hawa celeb malaika wasiopenda kujaribiwa inakuwa uchafu!
 
Nani kakamwbia kuwa anaandika uchafu?nyie kwenu raha Shigongo akiwaandika celeb uchwara kama akina sepenga tu ila wakiandikwa hawa hawa celeb malaika wasiopenda kujaribiwa inakuwa uchafu!
Wewe yaelekea status yako ni ya kina Shigongo na kushabikia upuuzi.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom