Waziri wa Miundombinu (Zanzibar) ajiuzulu

Huo ndio uongozi unapoharibu kaa pembeni pisha wengine na wao wafanye kazi' kuna miwaziri huku kwetu hata liharibu vp halijiuzulu litatafuta sababu hata uongo ili libaki madarakani'wengine mpaka wanaibiwa na makahaba lakini wanadunda tu hayana hata hisia za aibu'
 
Hussein Mwinyi una masikio?
Nampongeza sana huyu Waziri. Wazanzibari sometimes ni waungwana!

Ni uamuzi uliochelewa,lakini bado nampogeza pamoja na chama chake,hiyo wizara itawasumbua sana CUF,kwasababu kuna uchafu mwingi ambao washiriki wakuu ni maboss wa CCM Zanzibar.
 
kwani waziri mukuu wa zanzibar ni nani waziri mkuu ndie aleyepaswa kujuzulu kani ni huyu huyu wa tanganyika alipaswa ajiuzulu yeye,,likini basi watanzania wana ugonjwa wa kusaau wameshasahau endelea kukaa madarakani pigu
 
Hamad Masoud ni kutoka CUF. hivyo hata sishangai kwa jambo la kizalendo alilofanya.
Angekuwa waziri wa CCM, ningeshangaa sana.
 
hahahahaha....jiulize huyu kwanini hakufanya hivyo awali yaani ajari ya mwezi wa 9.

What if ile ilikuwa ya kwanza na akajua ataweza kurekebisha ila in the due process imetokea tena ilhali bado ugumu wa marekebisho upo................ingekuwa ni wewe????

Hebu weka mbadala mkuu........what would he do instead???
 
Angekuwa chini ya utawala wa kikwete angeambiwa akomae hakuna kujiuzulu.

That's real political accountability, jambo ambalo serikali ya Kikwete ina-miss
 
Waziri wa Miundombinu na Usafiri wa SMZ Hamad Masoud Ajiuzulu Rasmi Wadhifa wake.
Source: Salma Said, Mwananchi Communications Ltd.
 

Attachments

  • HAMAD.jpg
    HAMAD.jpg
    27.6 KB · Views: 49
mbona alipokuwa anahojiwa na itv kwenye kipindi cha dakika 45 alisema haoni haja y kujiuzulu maana hiyo meli iliyoama siyo yake na wala siyo yeye aliyeizamisha! sasa ina maana hii iliyozama ndiyo meli yake au ndiye aliyeizamisha? hata hivo tunampongeza kwa kujiuzulu....
 
Natanguliza shukrani na wengine waije mfano wako.

Lakini umejiuzuru kupisha uchunguzi au?
 
waziri wa mawasiliano na uchukuzi zanziba amejiuzuri kutokana na kuzama kwa meli ya skaget,mwakyembe je nae atajiuzuri?
source:radio one
 
Back
Top Bottom