Waziri wa Mazingira (Zungu) acha porojo, leta mikakati. Jifunze Ethiopia

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Nimeona bandiko la mh Zungu juu ya maadhomisho ya siku ya mazingira. Ni blaa blaa zisizo na.maana.

Hiyo speech yako hakuna mwananchi ataielewa.. pia kwa sasa hatuhitaji porojo.

Unazungumza mazingira kama kitu kipo sayari nyingine wakati mazingira
1. Kupanda miti kuanzia nyimbani kwako
2. Usafi
3. Kuzuia uchafuzi wa mazingira kuanzia ntumbani kwako
4. Etc

Ningengekusikia umeleta kampeni ya kupanda miti let say bil 1, ningekuona upo serious.

Angalia mwenzio ethippia anafanya.

20200518_163745.jpeg
 
Back
Top Bottom