Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ndugulile atakuwa kwenye mdahalo na wadau wa TEHAMA

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
878
955
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (Mb) atakuwa kwenye mdahalo na wadau wa sekta ya TEHAMA siku ya Jumatatu tarehe 03 Mei 2021 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana.

Hii ni fursa kwa wadau wa sekta kubadilishana mawazo na Serikali kuhusu mwelekeo na maendeleo ya sekta ya TEHAMA nchini.

Ili kushiriki kwa njia ya mtandao jisajili kupitia

IMG-20210425-WA0038.jpg
 
View attachment 1763503
Best failure Minister.
 
Ndugulile ajitahidi kuwa smart maana naona anaanza kujibu majibu mepesi kwa maswali mazito.
 
Wewe kila kitu ni jambo jema, hata mavi ni Jambo jema
Huyu ameshindwa ku deal na makampuni ya mitandao kurudisha vifurushi vya zamani, anakwenda kuongeza Nini?
Msikilize na umpinge kwa hoja.

Kama ambavyo Jesca Kafulila anavyo ulilia mkutano mkuu wa Chadema mkashindanishe hoja!

Kama wewe hunyi basi ni mgonjwa wa mwili na akili.
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (Mb) atakuwa kwenye mdahalo na wadau wa sekta ya TEHAMA siku ya Jumatatu tarehe 03 Mei 2021 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana.

Hii ni fursa kwa wadau wa sekta kubadilishana mawazo na Serikali kuhusu mwelekeo na maendeleo ya sekta ya TEHAMA nchini.

Ili kushiriki kwa njia ya mtandao jisajili kupitia

View attachment 1763503
Dead minded Minister a failure.....a leader with no vision and mission. Kiongozi anaefanya vitu asivyojua he is poor in riks analysis & management
 
Msikilize na umpinge kwa hoja.

Kama ambavyo Jesca Kafulila anavyo ulilia mkutano mkuu wa Chadema mkashindanishe hoja!

Kama wewe hunyi basi ni mgonjwa wa mwili na akili.
Naisikia wewe ni bibi??? Sasa inabidi umwage busara , Sasa unamwaga uharo
 
Aache longolongo, aeleze ni kwa nini alituletea bei za vifurushi vya ajabu, kisha hata baada ya raisi kuagiza kushuka kuna mitandao imesuasua kurudisha bei za awali, na atueleze kwa mkanganyiko huu kwa nini bado yuko ofisini?
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (Mb) atakuwa kwenye mdahalo na wadau wa sekta ya TEHAMA siku ya Jumatatu tarehe 03 Mei 2021 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana.

Hii ni fursa kwa wadau wa sekta kubadilishana mawazo na Serikali kuhusu mwelekeo na maendeleo ya sekta ya TEHAMA nchini.

Ili kushiriki kwa njia ya mtandao jisajili kupitia

View attachment 1763503
Okay
 
Back
Top Bottom