Waziri wa Mawasiliano atazifunga Waziri wa Mambo ya Ndani atazifungua

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
772
1,249
Katika hawa mawaziri wawili kuna mmoja ameingilia majukumu ya mwenzake.

Screenshot_20191129-202905.jpeg
 
Lugola matamko yake hua yanachukuliwa poa,hata Magu alishamwambia hilo suala.
 
Hapo kuna muosha na muoshwa,
ngoja tuone ni nani atabeba ndoo
 
No team work, no standing orders, huo ndio utawala mbovu wa Magufuli, Mambo na maamuzi yote vinaongozwa kwa Kiki na mihemko ya kujiinyesha kwa Faru Juma kuwa wewe ndio mtendaji HODARI
 
Back
Top Bottom