Muhimu sana kuhamasisha na kudumisha uhusiano mwema baina yetu ili biashara ziende.....sisi ni mabepari, wanabiashara, tunapenda sana amani ili maslahi yetu yalindwe.
Hehehe kule Bongo waziri wao ametoa agizo hamna tena mambo ya kufumaniana, ukiona mpenzi wako kaingizwa gesti, uache anyanduliwe usiingilie faragha yao. Na ukiwafumania utafungwa jela wewe, waheshimu kwenye mambo yao.
Msaidie huyu hapa kwa majibu Waziri Mkuu Majaliwa, huu ni mwezi wa nane, SGR kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi lini?Kama kawaida yako kuota na kuweweseka kuhusu Tanzania. Sasa ziara ya waziri wenu kwenda Somalia na mambo ya fumanizi Tanzania, wapi na wapi!!!!?
Hakuna nchi ambayo Kenya imekuwa na mahusiano hasi nayo kushinda Somalia. Nafurahi kuona hatua zikichukuliwa na pande zote mbili kurudi mezani na kufanya mazungumzo. Mazungumzo ni muhimu katika kuleta upatanisho kati ya nchi hizi mbili.