Waziri wa Mambo ya Nje (Kabudi) kuongea na wamiliki wa Vyombo vya Habari

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Angekuwa anaongea na waandishi wa habari sawa lakini wamiliki naona siyo sawa saizi yao ni Mwakyembe, Kabudi saizi yake ni mabalozi au ndio kuchanganyikiwa kwenyewe baada ya jana kudhalilishwa.

IMG_20190611_151142.jpg


ANGALIZO: Wamiliki wanajua wanaenda kuongea na mtu wa aina gani, mtu anayejipendekeza, asiye na msimamo, mwenye jaziba, kwahiyo waende na quote hii ya Baba wa taifa.

FB_IMG_1539968302967.jpg


Yetu masikio.
 
Mungu katupa masikio mawili na mdomo mmoja lengo likiwa tusikilize zaidi kuliko kuongea.Ungesubiri aongee kwanza ndio uje kuchonga mdomo hapa Kama iilifaa yeye aongee au la.Siku ingine yape muda masikio kwanza
Baada ya Mungu kutupa masikio na mdomo baadhi yetu alituongezea maarifa akatupa akili za uelewa na utambuzi.

Kwa hiyo wewe kaa na mdomo wako na masikio yako wakati wengine wakichambua mambo.
 
Baada ya Mungu kutupa masikio na mdomo baadhi yetu alitupa akili za uelewa na utambuzi ambao wanaccm wengi hamkupewa.

Kwa hiyo wewe kaa na mdomo wako na masikio yako wakati wengine wakichambua mambo.
Mwenye akili yeyote Ni msikilizaji mzuri.Huwezi kuwa na akili Kama Huwezi kutumia masikio yako vizuri.Kwenye masikio ndiko akili huingillia.Ndio maana walimu wote Hadi maprofessor hufundisha kwa kuongea
 
Mtu'pumbavu' akikualika kuzungumza naye yapaswa kujiuliza maswali mengi kabla ya kupoteza muda wako kumsikiliza
Unamwitaje mpumbavu mtu kabla hajaongea.Ndio maana Sheria inasema usimhukumu mtu kabla hujamsikiliza.Sema chadema Kuna tatizo kubwa kwa wanachama na viongozi.LIstening habit mko zero.
 
Back
Top Bottom