Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
 
Yuko sahihi, hakuna Polisi mwenye kujielewa aliyesoma akaelimika akakubali maagizo ya kuchukua kura fake na kuweka kwenye ballot box, huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wanaokuwa wamemtuma tu.

Facts zipo nyingi sana zinazothibitisha kuwa Polisi hawana ajili, sio kweli kuwa kila order ni ya kutekeleza, only in Tanzania.
 
2961034_IMG-20211011-WA0079.jpg
 
Well said polisi ni MTU pekee anayeweza kumvunja mguu mama yake mzazi akiamini kuwa ametenda kwa busara. Amemtii boss wake

Wamelaaniwa
 
Well said polisi ni MTU pekee anayeweza kumvunja mguu mama yake mzazi akiamini kuwa ametenda kwa busara.

Wamelaaniwa
Isn't generalization?!!

Isn't fallacy?!!

Akitokea Polisi mmoja mjinga haina maana ni wote....ingekuwa hivyo jeshi hilo lingeshafutwa kikatiba.....

Chuki huviza moyo....Kuna Polisi wengi sana ni wema mno na weledi wa kazi zao haswa......

SIEMPRE JMT
 
Sio kweli, kuwa mkweli kwa nafsi yako
 
Simbachawene yuko sahihi kabisa. Hata lile zoezi la Magufuli la vyeti feki halikufanyika Polisi.

Laiti lingefanyika basi Polisi wengi wangerudi mtaani kwa kuwa wenyewe ndiyo wanaongoza kwa kuchukua vyeti vya wengine na kuombea mafunzo
 
Back
Top Bottom