Waziri wa mambo ya ndani,ongeza magereza,tangu uhuru mpk sasa watu tumeongezeka

mugajwale

Senior Member
Feb 19, 2015
105
23
Binadam wote ni sawa tunahtaji haki,magereza ni ya wote,waheshmiwa na makapuku,tumepata uhuru tukiwa watu mil 12,leo je?
 
Wazi lako zuri sana ila bahati mbaya wapambe wange changia ingekuwa upuuzi au kupamba viongozi kama nape, makamba au kigwangala
 
Back
Top Bottom