Waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa jeshi la polisi Tunisia waachishwa kazi

Hapa Kwetu hilo haliwezekani....labda wampeleke Mahakamani.....kesi ichukue 5 yrs and that it...rais wetu hana huo ubavu....................Besides hao wote ni washikaji zake so How can he?????
 
Hao wa intelijensia wataondoka tuu hii ni nguvu ya watu ndo itawatoa hata kama mkwere hataki
 
Du, umenishtua nikajua hapa, kudadadeki..!

Pole sana! Ukiweka cursor kwenye kichwa cha habari unaweza kusoma yaliyoko mwanzo wa habari hata kabla ya kubofya. Nilijaribu kueleza ni Tunisia kwenye sentensi ya kwanza.
 
Mzee Ruksa peke yake enzi za Mchonga ndiye aliyewahi kujiuzulu kwa hiari yake mwenyewe bila kushurutishwa.

Inashangaza CCM ya leo WATU WAMEUAWA KWA KUPIGWA RISASI WAO WANASHANGILIA.
Ni vichaa na wendawazimu wa CCM ndiyo wanaoshangilia huku wakisema CHADEMA walikaidi amri halali ya Polisi. Hawaoni hata aibu maana wanajichanganya wenyewe. ADENGENYE aliruhusu MAANDAMANO NA MKUTANO, IGP MWEMA AKAZUIA MAANDAMANO LAKINI AKARUHUSU MKUTANO. AJABU NI KWAMBA WATU WAMEPIGWA MABOMU NA RISASI ZA MOTO HATA WALE AMBAO HAWAKUWA WAKIANDAMANA WALA KWENYE MKUTANO!!!

IGP MWEMA NA ADENGENYE WANASEMAJE KUHUSU YULE MKENYA SOMEBODY KAMAU???JE,NAYE NI MWANA-CHADEMA??????

TATIZO LA POLISI YETU TANZANIA NI KUWA 90% YA MAPOLISI HAWANA SHULE. THE MAJORITY OF THEM NI AIDHA CLASS 7,FORM IV AND FORM VI FAILURES i.e DIV 0 AU 4. wengine tumesoma nao tunawajua. Hii inamaanisha kuwa Jeshi la POLISI limejaa majuha ambao reasoning capacity yao na IQ yao ni zero!!!!
 
Hii thread ingewekwa kule International Forum, watu wakisoma heading wanajua haya yametokea nchini mwetu kumbe yametokea Kaskazini mwa Afika
 
They need this!!

avatar33694_1.gif

LOL!! Mkare bwana!!
 
Back
Top Bottom