Waziri wa mambo ya ndani matatani. Dvd za polisi kupiga mtoto zanzibar zasambazwa

Dvd zinazoonyesha polisi wakimpiga mtoto mdogo ndani ya nyumba huku mtoto huyo akihaha kutafuta njia ya kutokea zinaanza kusambazwa visiwani huko.

Dvd hizo zilipigwa siku ya tukio la kuwapiga mabomu waislam walipokuwa wanasoma dua sasa zimekuwa zikisambazwa kwa wingi visiwani huko.

TAYARI JUMUIA YA UAMSHO WAMEWATAKA VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA BARA KWENDA KUZICHUKUA DVD HIZO

SOURCE: JUMUIA ZA KIISLAM ZANZIBAR
Huo ni uzushi, iwe wako wewe au umefuata mkumbo.
Nani alichukua video hiyo wakati wa tukio, ndani ya nyumba, na bado askari anakuacha uchukue video; unless hiyo nyumba iwe na CCTV.

Na hapo nyekundu ndio uongo kabsaaaaaa, wao hawawezi kutuma video hadi waandishi watoke TZ Bara kuzifuata huko? Acheni hizo! Na pengine leo katika hotuba baada ya sala zote issue itakuwa hiyo, huku kukiwa hakuna mmoja anajiuliza, anakubali kulishwa kasumba tu.

Hawa UHARISHO hawa, kichwa maji kweli.
 
​nawalaani uamsho lakini polisi kumpiga mtoto mdogo ni laana na sasa ile dvd ya ulimboka anayoeleza jinsi usalama wa taifa walivomtesa inaandaliwa ita kuwa mitaani very soon shame kwa serikali ya chinja chinja ya kikwete

Usichanganye ya Ulimboka na Uamsho.

Ulimboka ni muuaji, wakati wa mgomo wamekufa watu wangapi kwa kukosa matibabu? Yule waliemfanya alivyofanywa hawakutaka kumuuwa walikuwa wanamtumia kwa maslahi yao binafsi na wanajulikana, sooner or later utawasikia na kuwaona wakifika mahakamani. Usiwe na hofu.
 
Olesaidimu Not that reporting such inhuman act is a bad thing, but linking it with religion is what i would rate as idiot and umasikini wa mawazo, how many times have the police done these ? Today you want us to believe that it is due to religion...not at all. nakataaaaaaaaaa

I second you

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tangu Nchimbi waziri wa mambo ya ndani umafia umeongezeka sana. Huyu jamaa anasifika kwa vitendo vya kimafia
 
Hivi ni kweli serikali imeshindwa kupambana na hawa UHAMSHO? Nadhani kuna kitu nyuma ya pazia. Tusidanganyane Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inajua nini kinachoendelea, wanawatumia hawa jamaa kwa mlango wa nyuma. Haiwezekani kikundi kidogo cha wahuni kikasumbua dola yenye mamlaka kamili, ina jeshi, polisi nk. Kuna kitu hapa wasituzingue.
 
Dvd zinazoonyesha polisi wakimpiga mtoto mdogo ndani ya nyumba huku mtoto huyo akihaha kutafuta njia ya kutokea zinaanza kusambazwa visiwani huko.
Dvd hizo zilipigwa siku ya tukio la kuwapiga mabomu waislam walipokuwa wanasoma dua sasa zimekuwa zikisambazwa kwa wingi visiwani huko. Wanadai waziri nchimbi ndio aliagiza waislam hao wapigwe kwani yeye alikuwa ziarani visiwani huko. Wanadai waziri nchimbi ndie muhusika mkuu wa tukio pengine kwakuwa amekasirika na Uchomaji wa makanisa yeye akiwa ni mmoja wa muumini wa dini hiyo.
TAYARI JUMUIA YA UAMSHO WAMEWATAKA VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA BARA KWENDA KUZICHUKUA DVD HIZO

SOURCE: JUMUIA ZA KIISLAM ZANZIBAR
I am sorry lakini hii thread ni hovyo kabisa. Ptuuuuuu!!!
 
TUSI TUUU,,

hii JF IMEPOTEZA HADHI YAKE IMEKUWA JF YA UCHOCHEZI NA MA
 
Halt please................it's all idiot na umaskini wa mawazo kuripoti kupigwa kwa mtoto au???????

Wenye access iwekeni hapa tuone wenyewe then comments and actions will follow

Mimi ni Mkrito. Ningekuwa ni rais ningewatendea haki watu wa dini zote na kuheshimu uhuru wao katika kuabudu. Pia ningesimamia haki kwa watu wote. Suala la polisi kumpiga mtoto ninali laani sana. Hata kama mtoto alishawishiwa kuwepo katika mhadhara si kosa lake. Ni ujinga kumshambulia hivyo. Huu ni unyanyasaji. Nautafsiri kama uonevu kwa watu wa visiwani. (Ingawa polisi wa Tz wamezoea kuonea watu iwe bara au visiwani)
 
dvd zinazoonyesha polisi wakimpiga mtoto mdogo ndani ya nyumba huku mtoto huyo akihaha kutafuta njia ya kutokea zinaanza kusambazwa visiwani huko.
Dvd hizo zilipigwa siku ya tukio la kuwapiga mabomu waislam walipokuwa wanasoma dua sasa zimekuwa zikisambazwa kwa wingi visiwani huko. Wanadai waziri nchimbi ndio aliagiza waislam hao wapigwe kwani yeye alikuwa ziarani visiwani huko. Wanadai waziri nchimbi ndie muhusika mkuu wa tukio pengine kwakuwa amekasirika na uchomaji wa makanisa yeye akiwa ni mmoja wa muumini wa dini hiyo.
Tayari jumuia ya uamsho wamewataka vyombo vya habari vya tanzania bara kwenda kuzichukua dvd hizo

source: Jumuia za kiislam zanzibar

wajinga kama wewe ndiyo wataamini fitina kama hizi toka huna adabu muuaji wewe
 
Back
Top Bottom