Waziri wa Mambo ya Ndani asonga ugali wa wafungwa katika gereza la Isupilo wilayani Mufindi mkoani Iringa

Mkuu mimi nilidhani umeisha ijaribu kuitumia kusonga ugali wa mahindi ama muhogo, yaani unauzoefu na matumizi ya mashine hiyo. Kama bado hujaitumia basi wazo langu bado lina thamani, hivyo wanajukwaa waniunge mkono.
Kama inaweza songa unga wa ngano kwann isisonge wa mahindi.
Kampuni kubwa haisongi ngano kwa mikono
 
Kama inaweza songa unga wa ngano kwann isisonge wa mahindi.
Kampuni kubwa haisongi ngano kwa mikono
Hivi kuna uwezekano watengenezaji wa mashine hiyo ya kusonga ngano, hawajui kuwa huku tunasonga ugali wa mahindi na muhogo kiasi cha kuwafanya wasitangaze mashine yao inasonga unga wa ngano, mahindi na muhogo!? ( Hili si swali lako ninawaza tu).
 
Mama Samia yupo crystal clear yeye na JPM ni kitu kimoja. Tunajua na watanzania tunasikitika upinzani hamkutendewa haki lakini, kauli yake iltosha kuwakumbusha msichezee wembeutawakata. Sasa watanzania tuna covid hali mbaya anayebisha atembelee hospitali yoyote kma hakuti watu wamewekewa.oxygen Sasa mnakazania katiba mpya ili 2025.mtawale miti. Sisi hatuna interest na siasa tunapambania uhai wetu dhidi ya covid. Hapa naandika niko hospitali siku ya tano ninaugua covid na hapa siko pekee. Tunajua mwendazake hakulitendea haki taifa kuhusu covid only a fool can deny this. Sasa wapinzani wa kweli hamasisheni 1watu wavae barakoa.2 maji tiririka na sanitzer kila nyumba duka na 3 covid vaccine ikija watu wachanje. Hiyo ndiyo sera bado sahihi na mkazane kwenye weakness za mbaya wenu tutawapenda. Mnaishi maisha ya jana ya kuonewa sympathy na donors na watanzania, fahamu wote aliye na maslahi ya kuitoa ccm ksa sababu ni relatively and you are unknown kea mstakabali wa taifa si kwa raia senzetu and international community. Kama kwa uchaguzi wa mwaka jana wazungu wameacha ccm ikapita jifunzeni, na sisi maishs na covid no thank you hatusemi kitu,we have enough of our suffering miaka yote nani ataakuamini nia njema na sisi waafrika tulvyo vinganganizi mkifika pale juuccm wanajua mtawapatiliza.mchina ameonyesha udictator na maendeleo havizuliani ili mradi sera nzuri za uchumi na kukata tu rushwa . Upinzani na rushwa ndani ya upinzani is no better than our society if not worse.
 
limonia
Baridi lapale mahala hadi kakimbilia jikoni
Siwangempa mkaa au haukutosha kigae
Ngili mjingasana
 
Legacy yake hiyo.....atakumbukwa kwa hilo....awape unafuu kulala na kusikilizwa kesi zao kupika sio issue haki zao ndio msingi
 
Alafu huyo kwenye hiyo fani ya jikoni anafaa sana,Huku kwny uwaziri awapishe vijana wenye mawazo chanya,maana bungeni sioni cha maana wanachotufanyia hao,Bunge linaloamua kupandisha bei ya mafuta na kupunguza bei ya pombe ,mmmh alafu akili ikaishia kwny kutoza miamala,mmmh bora ubaki hapohapo usonge ugali tuu.
 
Sijaelewa ni kipindi cha kampeni ama?yaani anasonga ugali ili iweje?
Hawa ndo wabunge na viongozi wetu hivi kweli kuna kusonga mbele kwa staili hiii???
Akimaliza hapo et anajumuika na wafungwa ili iweje? nakuombea kwa Mungu ukila hicho chakula uharishe kuanzia isupilo mpaka mafinga
 
Back
Top Bottom