Waziri wa Maliasili na Utalii anapata ajali mbaya anatibiwa Muhimbili, CHADEMA wakashinikiza Wakili akatibiwe Kenya na Ubeligiji

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Tuna Mambo ya Kujifunza waziri wa Maliasili na Utalii anatibiwa MNH hospital ambayo Mbowe Mara baada ya Kupanga shambulio la Kutaka kumuua Lissu alipodai uchaguzi ndani ya Chama waliikataa na kuona haina Viwango huku wakililia Medical Billl ilipwe na Serikali hapa kwa Watanzania tuna la Kujifunza.
 
Common sense is not common to CCM members
 
Tuna Mambo ya Kujifunza waziri wa Maliasili na Utalii anatibiwa MNH hospital ambayo Mbowe Mara baada ya Kupanga shambulio la Kutaka kumuua Lissu alipodai uchaguzi ndani ya Chama waliikataa na kuona haina Viwango huku wakililia Medical Billl ilipwe na Serikali hapa kwa Watanzania tuna la Kujifunza.
Wewe unadhani unatafuta kiki kumbe unaivua ngua sirikali yako
 
Tuna Mambo ya Kujifunza waziri wa Maliasili na Utalii anatibiwa MNH hospital ambayo Mbowe Mara baada ya Kupanga shambulio la Kutaka kumuua Lissu alipodai uchaguzi ndani ya Chama waliikataa na kuona haina Viwango huku wakililia Medical Billl ilipwe na Serikali hapa kwa Watanzania tuna la Kujifunza.
Mbona unaandika pumba jumapili yote hii
 
Well said!
MFUNDISHE MWENYE HEKIMA AZIDI KUWA NA HEKIMA!
Wachache wataona kama ulivyo iona!
That’s all!
 
Anafuata sheria na taratibu baada ya hapo anaweza kwenda kutibiwa nje lakini lissu alitaka kupita njia ya mkato na alilijua hilo ila kwakuwa chadema waliumbwa kubisha!
Lissu yupo fit anarejea ili awataje mlio mpiga marisaasi
 
Back
Top Bottom