Waziri wa Madini, mrahaba wa mashamba Kakola unaenda wapi?

makwagejo

JF-Expert Member
Nov 25, 2019
361
267
Habari ndugu Waziri wa Madini tunaomba kujua mrahaba wa madini inaokatwa kwa ajili ya wamiliki wa mashamba una utata.

Kuna watu wanauchukua mrahaba wa shamba Kakola, swali wamiliki wa mashamba hayo hawakulipwa fidia maana inasemekana mzungu alilipa fidia ya maeneo.

Tunamuomba Rais na wasaidizi wake wachunguze mrahaba wa mashamba unaenda serikalini au kwa watu binafsi maana mzungu alinyang'anywa hayo maeneo aliyokuwa anamiliki, je yanamilikiwa na nani?

Serikali iwaelimishe wananchi juu ya jambo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunaomba wahusika wa wizara mtoe muongozo,mrahaba wa mashamba unaenda serikalini au ,maana inasemekana ,tetesi kuwa mzungu alilipa compasastion ya mashamba,swali mashamba haya yamerudishwa kwa wananchi?na kama kwa wananchi je anachukua nani mrahaba huo?kama ni serikali inachukua mkuu wa mkoa waelimisheni wachimbaji vinginevyo mtaleta mgogoro usio wa lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom