Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda anapaswa kujiuzulu kwa kutoa maamuzi yaliyopingwa na Rais Samia

Ukisoma katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwenye ibara ya 54(3) inataja baraza la mawaziri ndio chombo kikuuu cha kikatiba cha kumshauri mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye mambo yanayohusu utekelezaji wa majukumu yake ya Urais

Sasa kama kuna mheshimiwa waziri anayeweza kuwa msimamo ambao NONSENSE kwa maslahi mapana ya nchi yetu, nadhani huyo mheshimiwa Waziri anapoteza sifa na uwezo wa kuendelea kuwa mjumbe wa chombo kikuu cha kumshauri mheshimiwa Rais wetu ( Baraza la mawaziri)

Kwa busara ya kawaida kabisa, mheshimiwa waziri huyo anapaswa kujiuzulu nafasi yake hiyo, na kutoa fursa kwa mheshimiwa Rais kuteua mtu mwingine anayeweza kumshauri vema kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

Pia soma > Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda
Mkenda yuko realisic, principled and consistent na policies za CCM na nchi kwa ujumla. Prof huyu na sisi waona mbali ambao sio wanasiasa (wapendezeshaji masikioni pasipo sense) tunamuombea ili azidi kusaidia Taifa. Huyu ni Professor bwana! Sio wa jalalani.
 
Back
Top Bottom