Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,546
- 25,579
Tulishabugi kazi tunayo aisee...
Siyo lazima, ndo maana serikali inabidi ije na plan ya namna ya kuzuia moja kwa moja mahindi kupelekwa kenya tusije kuwaua kwa sumu kuvu.Kwani wakenya kununua mahindi ya tanzania ni lazima ?
Huu ndio ukweli, ni vema serikali ya TANZANIA ingekaa kimya juu ya hili kwasababu licha ya uzalishaji mdogo wa nafaka uliopo kenya lakini mqzingira ya kenya yanazalisha more aflatoxin kuliko Tz because mazao haya hukaukia shambani na maeneo mengi ya kenya ni more humid kuliko mazingira similar ya Tanzania yanayozalisha mahindi. Kimsingi nadhani kenya wanatafuta namna ya kupata grains kwa bei nafuu zaidi kwakuwa wafanyabiashara wa TANZANIA+UGANDA wanapopeleka nafaka kenya huambiwa kuwa zina high levels za mycotoxins lakini hununuliwa na kuuzwa kwenye prime markets, ni hujuma za kitototatizo la sumu kuvu lipo kwenye baadhi ya mazao ya Tanzania lakini tatizo hilo ni kubwa zaidi kwa mazao ya Kenya. Kiwango kilichopo kwa mazao ya Tanzania
Mlipochoma vifaranga vyao uliongea hivi?East Africa Community
Haitakaa Isimame Kamwe Kwa Aina Hii Ya Figisu Kila Uchao, Acha Tu Tuone
Nina mtoto darasa la pili, hawezi kuwa mpuuzi kama huyu Profesa uchwara. Make radhi tafadhali.Maana hiyo kama wamekuta sumu kwenye mazao yetu wanatakiwa kuendelea kuwaruhusu wananchi wao wale sumu hadi TBS itakajiridhisha? Je kama wakiruhusu wananchi wao kuyatumia halafu TBS wakakuta yana sumu, serikali iko tayari kubeba huo msalaba? Profesa mzima unatoa utetezi kama mtoto aliyishia darasa la pili.
Wamesahau na wale ng,ombe Wa wamasai Wa Kenya waliowataifisha kisa masa I ameingiza mpakani kwetu wakati Wa ukame.Ndio mkumbuke mlivyouwa wale vifaranga wao pale Namanga.
Wakenya hawana figisu. Nyie na roho zenu tu.East Africa Community
Haitakaa Isimame Kamwe Kwa Aina Hii Ya Figisu Kila Uchao, Acha Tu Tuone
Naomba radhi kwa huyo mtotoNina mtoto darasa la Pili, hawezi kuwa mpuuzi kama huyu Profesa uchwara. Mtake radhi tafadhali.
Huyo waziri nae ni mzigo kma kabudi,prof mzima anaropoka tu aendelee kufukuza nzige na mateke.Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema hatua ya Kenya kukataa mahindi ya kutoka Tanzania ni kinyume cha utaratibu wa makubaliano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya kibiashara.
Utaratibu wa kibiashara uliopo ni kuwa Kenya walitakiwa kupima kama mahindi yana madhara na walipaswa kuwasiliana na Shirika la Viwango la Tanzania (TBS) ili nao wapime kujiridhisha.
Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya tatizo la mahindi kuzuiwa, aidha Sekretariet ya Jumuiya ya Afrika Mashariki imeingilia kati suala hilo.
Pamoja na hayo Waziri amekiri kuwa ni kweli tatizo la sumu kuvu lipo kwenye baadhi ya mazao ya Tanzania lakini tatizo hilo ni kubwa zaidi kwa mazao ya Kenya. Kiwango kilichopo kwa mazao ya Tanzania ni kidogo ambacho sio hatari kwa afya.
Pia soma
View attachment 1721006
Swali rahisi,Ndio mkumbuke mlivyouwa wale vifaranga wao pale Namanga.
Inashangaza sana Mkuu..Swali rahisi,
Hivi ni lazima Kenya wanunue mahindi toka Tanzania? Maana hata huku mtaani kuna maduka ya Mchagga na Mpemba kila mtu huchagua pa kwenda.
Badala ya Wakenya kulalamika naona sisi wenye chakula ndio tuna lalamika. Kwani tulilima kwa ajili ya Wakenya?
Tatizo ni kwamba Tanzania tunazalisha mahindi mengi kuliko mahitaji na kati ya majirani zetu Kenya ndio inayokuwa na upungufu wa mahindi ndo maana hili soko linakuwa la muhimu kunusuru wakulima wetuSwali rahisi,
Hivi ni lazima Kenya wanunue mahindi toka Tanzania? Maana hata huku mtaani kuna maduka ya Mchagga na Mpemba kila mtu huchagua pa kwenda.
Badala ya Wakenya kulalamika naona sisi wenye chakula ndio tuna lalamika. Kwani tulilima kwa ajili ya Wakenya?