peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,761
- 21,319
"Mwenye CV ya Prof. Adolf Mkenda tafadhali"
Aisee watu walilia utadhani kafa binadamu mwenzaoNdio mkumbuke mlivyouwa wale vifaranga wao pale Namanga.
Wakenya wanasema kuwa watanzania tunajikoroga wenyeweHii serikali mbona inasarakasi sana,Shigella anasema mahindi hayajazuiwa,mara hakuna taarifa yoyote rasmi kutoka kenya yakuzuia mahindi,leo waziri kaja na lake.
Endeleeni kubisha!
Dah....huu mstari umebeba ujumbe mzito 🤭.........Pamoja na hayo Waziri amekiri kuwa ni kweli tatizo la sumu kuvu lipo kwenye baadhi ya mazao ya Tanzania lakini tatizo hilo ni kubwa zaidi kwa mazao ya Kenya. Kiwango kilichopo kwa mazao ya Tanzania ni kidogo ambacho sio hatari kwa afya.
Hii ni hatari kwa maendeleo ya EAC.East Africa Community
Haitakaa Isimame Kamwe Kwa Aina Hii Ya Figisu Kila Uchao, Acha Tu Tuone
katika wale wachache tumepata m1
😂😂😂😂😂katika wale wachache tumepata m1
Ha ha ha haUsiumize kichwa mkuu Watu washamjulia huyu Mr President huwa anapenda misifa isiyo na ukwel usishangae kina watu wakaandamana kwenda ubaloz wa kenya kushinikiza wakenya wanunue mahind yetu yenye sumu iili tuwaue. Vizur
Nchi ya maigizo Sana hii mkuu wa mkoa na wilaya n wakubwa kushinda mawazir mifano mnayo mingi tu Kama makonda na. Nape leo shigela na mkenda
Kwani wakenya kununua mahindi ya tanzania ni lazima ?Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema hatua ya Kenya kukataa mahindi ya kutoka Tanzania ni kinyume cha utaratibu wa makubaliano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya kibiashara.
Utaratibu wa kibiashara uliopo ni kuwa Kenya walitakiwa kupima kama mahindi yana madhara na walipaswa kuwasiliana na Shirika la Viwango la Tanzania (TBS) ili nao wapime kujiridhisha.
Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya tatizo la mahindi kuzuiwa, aidha Sekretariet ya Jumuiya ya Afrika Mashariki imeingilia kati suala hilo.
Pamoja na hayo Waziri amekiri kuwa ni kweli tatizo la sumu kuvu lipo kwenye baadhi ya mazao ya Tanzania lakini tatizo hilo ni kubwa zaidi kwa mazao ya Kenya. Kiwango kilichopo kwa mazao ya Tanzania ni kidogo ambacho sio hatari kwa afya.
Pia soma
View attachment 1721006
HahahahahahaahhaaSumu ipo lakini sio kwa kiwango cha juu..Huyu Waziri tangu nilivyomwona anapiga nzige mitama ndio niliamini hamna kitu..