Waziri wa kilimo amsimamisha Mkurugenzi Mkuu wa bodi ya sukari

Yaani mtu (waziri) mgeni Wizarani asiporidhishwa tu na "mwenendo wako wa kazi" japo amekuona kwa mwezi mmoja, anakusimamisha kazi. Tutapona kweli na huu ulimbukeni wa madaraka?!
 
Aiseee pole zake. Utawala hii so wa kuchezea. Maziwa WATUMISHI wa umma futeni na badilikeni.
 
Mara asimamishwe kazi Mara arejeshwe kwa Muajiri wake wa awali apangiwe kazi nyingine,
Arejeshwe kwa mwajiri wake akaendelee na utendaji wake usioridhisha? Can we clearly point out his weaknesses public imhukumu?
 
Anaacha kusimamisha 'kitu ya maana" anasimamisha mtumishi
kwa watumishi sio watu wa maana
Ungejua michezo aliokuwa anaifanya na waagiza sukari nadhani ungelaani mpaka unaingia kaburini
SUDECO ilikua enzi za kina Kibonde,sasa kuna wapiga dili watupu wanauza vibali vya sukari mpaka dola laki moja,huku wakiwaacha mafisadi wafungie sukari ili ipande bei
 
Kuharibu waharibu wao na maagizo yao ya kukurupuka mzigo na lawama wamshushie mwingine.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
KWA HIYO AACHWE TU NA HUKU KASHINDWA KAZI? SUKARI KILO MPAKA 5000 HASEMI LOLOTE KIMYA!! AONDOKE HATA UTOA ONYO KWA WANAOUZA BEI HIYO HAKUNA AU HAWEZI SASA WA NINI? HATA KUFUATILIA SABABU YA KUPANDA HAFANYI NI KUKALIA UKURUGENZI TU.SUKAARI ZIKO MA GODOWN ZIMEFUNGIWA ILI BEI IWE YA KURUKA. ANAYEPEWA HIYO NAFASI AJUE LA KUFANYA ILI SUKARI ITOKE? HIKI NI KIPINDI CHA UZALISHAJI VIWANDANI VIPI BEI IWE JUU?
 
Kwa agizo hilo lililotolewa na Waziri wa Kilimo Dkt Tizeba, Mkurugenzi huyo atatakiwa kurejea kwa mwajiri wake ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo kwa ajili ya kupangiwa kazi nyingine.


Kasimamishwa au karudishwa Wizarani? Sarakasi hizi sio za nchi hii
 
Ndani ya system kuna raha kweli, ukila ukijulikana unahamishiwa sehemu nyingine gizani na unaambiwa kula polepole angalia usijulikane.
Unakulaje polepole wakati ushaondolewa kwenye post yako na kuwa desk officer Wizarani?
 
Back
Top Bottom