Waziri wa Kikwete alidanganya Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa Kikwete alidanganya Bunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fareed, Jul 14, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame M. Mbarawa, leo (14/7/2011) akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya 2011/12, aliliambia Bunge kuwa hotuba yake iko hewani kwenye mtandao (website) wa wizara yake -- MST Website -- katika kutaka kuonesha kuwa wizara yake inakwenda na sayansi na teknolojia kwa vitendo.

  Hadi ninapost thread hii ambapo wizara hiyo sasa inajumuisha majadiliano kwenye bajeti hiyo na Bunge kutakiwa kupitisha bajeti hiyo, hotuba yake haijawekwa kwenye website ya wizara yake.

  Huku ni kulidanganya Bunge. Hawa viongozi wa serikali inabidi waanze kuchukuliwa hatua kali kwa kudanganya hovyo Bunge na wananchi na kutokuwa makini kwenye kazi zao.

  Hotuba ambao iko kwenye website ni ya 2010/11 iliyotolewa mwaka jana na waziri wa zamani, Prof. Peter Msolla.  MST Website
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Ni sawa, lakini hizo ni house keeeping issues. Tudeal kwana na majizi kwanza
   
 3. m

  mapinno Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  haya unayoyaona madogo ndo yanapelekea kutokea kwa hayo makubwa
   
 4. Researcher

  Researcher Senior Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nasikitika kuona kwamba hata sera ambazo wizara inazisimamia hazipatikani kwenye tovuti.something needs to be done about information and communication serikalini kwa kweli..tunaona si mambo ya msingi ila ukweli yana umuhimu wa kipekee.
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Kwenye hiyo cabinet usipodanganya ndo wenzako wanakushangaa.
  Wanatofautiana tu wengine waongo sana wakati wengine waongo kidogo.
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  ILi uqualify kuwa mbunge au Waziri CCM lazima siku zote useme uongo kwa sababu watanzania ni madondocha na huwa wanasahau haraka nanukuu kauli ya Yussuf Makamba akiongea na BBC baada ya uchaguzi mkuu
   
 7. T

  The Priest JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Duh!kumbe kadanganya? Hajui atakuwa kadanganywa na watendaji wa wizara!
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  mnashangaa nni sasa......kwan hamjui kunzi jk na ccm yoe ni waongo?

  sitta ndo usiombe...yule mzee kw fix balaa
   
 9. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hiyo ndio tz kila uongo ni ukweli na ukweli ni uongo.
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Cta anastaafu vbaya
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Huwezi kujulikana CCM na mbele ya JK kama wewe si muongo .Ndiyo maana watendaji wengu humdanganya JK na hakuna hatua baadaye maana anajua uongo ni sera za CCM .
   
 12. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  JKambaye ni baba ni mwongo, sembuse mawaziri (wanawe) washindwe kuwa waongo? Jambo la kushangaa halipaswi kuwa uwongo wa mawaziri bali kama wangekuwa wa kweli ndiyo tungepaswa kuwashangaa.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Si anajua hakuna atayefungua umo bungeni mpaka watoke nje!
  Ila nowdays kusema uongo ndo dili
   
 14. Researcher

  Researcher Senior Member

  #14
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  JF works people, hiyo tovuti ipo updated sasa. Big up Fareed!
   
Loading...