Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi atoa somo la sheria Bungeni

..naona Prof ameanza kuleta majigambo.

..vilevile ame-personalize hoja/mjadala.

..analeta mambo ya historia na kuitumia kuhalalisha kuwepo kwa katiba isiyokidhi mazingira ya sasa.

..katiba yetu ina mapungufu mengi yanayopaswa kurekebishwa bila kuchelewa.

..hoja za Prof.Kabudi kudai kwamba Uingereza haina katiba hazilisaidii bunge, na haziwasaidii Watanzania.
 
Kwa mara nyingine, prof Kabudi amelionyesha bunge nidhamu na maana halisi ya kuwa bungeni!Hotuba ya mh Lissu ilikuwa tango pori tupu,mambo mengi aliyoyaongea hakuwa na record au research kamili!

Hebu angalia video hii kwa makini akijibu baadhi ya tango pori za Tundu Lissu..
 
Uingereza na Israel hawana katiba sisi mishipa ya shingo inatutoka
Kwa mara nyingine, prof Kabudi amelionyesha bunge nidhamu na maana halisi ya kuwa bungeni!Hotuba ya mh Lissu ilikuwa tango pori tupu,mambo mengi aliyoyaongea hakuwa na record au research kamili!

Hebu angalia video hii kwa makini akijibu baadhi ya tango pori za Tundu Lissu..
[URLhttps://youtu.be/5V_JmjOvPfA][/URL]
Kuna uzi upo hapa umeshachambua hoja za ( "upuuzi") wa Kabudi! Utafute ujiridhishe!
https://www.jamiiforums.com/threads...katiba-sisi-mishipa-ya-shingo-inatutoka.12419
 
Kwa mara nyingine, prof Kabudi amelionyesha bunge nidhamu na maana halisi ya kuwa bungeni!Hotuba ya mh Lissu ilikuwa tango pori tupu,mambo mengi aliyoyaongea hakuwa na record au research kamili!

Hebu angalia video hii kwa makini akijibu baadhi ya tango pori za Tundu Lissu..

Vijana wa uenezi mitandaoni nawaona mpo mpo tu
 
Kwa mara nyingine, prof Kabudi amelionyesha bunge nidhamu na maana halisi ya kuwa bungeni!Hotuba ya mh Lissu ilikuwa tango pori tupu,mambo mengi aliyoyaongea hakuwa na record au research kamili!

Hebu angalia video hii kwa makini akijibu baadhi ya tango pori za Tundu Lissu..

Ukishamezeshwa matango pori na Lumumba akili inabadilika.

Utaimba sana hata Prof Kabudi anamuadmire Mwanafunzi wake na anajua hamuangushi.
 
Lissu kawafunika walimu wake wote. Kuanzia Dr. Asha Rose Migiro, Dr. Mwakyembe na sasa ni zamu ya Prof. Kabudi ambaye amemtahadharisha kwamba, kama naye ataacha kusimamia ukweli atayeyuka kama barafu kama walivyoyeyuka watangulizi wake kwa kipindi kifupi. Lissu ni undefeatable kwenye tasnia ya sheria.
 
Back
Top Bottom