Waziri wa Katiba na Sheria: Mahakimu wenye elimu ya astashahada na stashahada kufutwa kazi


Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
14,031
Likes
31,831
Points
280
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
14,031 31,831 280
Waziri wa Katiba na Sheria Mh.Dkt Harrison Mwakyembe amesema serikali itawafuta kazi Mahakimu wote wa mahakama za mwanzo wenye elimu ya cheti na diploma ya sheria.

“Tunahitaji mahakimu wenye uwezo wa sheria ambao wamehitimu shahada ya kwanza, hivyo serikali inaandaa utaratibu wa kuwafuta kazi mahakimu wote wenye elimu ya cheti na diploma”

Katika kikao kijacho cha Bunge, Serikali inakusudia kupeleka bungeni na kusoma kwa mara ya kwanza Muswada wa Sheria ya msaada wa Kisheria (The Legal Aid Bill), ambao pamoja na mambo mengine utaruhusu watu wasio na taaluma ya sheria lakini wenye uzoefu na masuala ya kisheria (Paralegals) kutoa msaada wa kisheria, kwa mujibu wa kifungu cha Kifungu 10(1)d(ii) na (iii).

Maana yake ni kwamba ikiwa muswada huu utapita na kuwa sheria, it means wale watu wasio na taaluma ya sheria lakini wanajishughulisha kwa namna moja au nyingine na mambo ya kisheria (mnawaita Bush Lawyers) watatambulika rasmi na watapewa fursa ya kutoa msaada wa kisheria katika baadhi ya masuala ya kijamii.

Nini maoni yako??
 
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
70,073
Likes
337,599
Points
280
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
70,073 337,599 280
Waziri wa Katiba na Sheria Mh.Dkt Harrison Mwakyembe amesema serikali itawafuta kazi mahakimu wote wa mahakama za mwanzo wenye elimu ya cheti na diploma ya sheria.
“Tunahitaji mahakimu wenye uwezo wa sheria ambao wamehitimu shahada ya kwanza, hivyo serikali inaandaa utaratibu wa kuwafuta kazi mahakimu wote wenye elimu ya cheti na diploma”
HEHEHE.....hatari sana
 
Shindu Namwaka

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
4,858
Likes
2,970
Points
280
Shindu Namwaka

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2014
4,858 2,970 280
Safi sana
 
boaz mwalwayo

boaz mwalwayo

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Messages
5,630
Likes
3,953
Points
280
boaz mwalwayo

boaz mwalwayo

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2015
5,630 3,953 280
Wakitoka apo watataka kupungunza wananchi maana Tanzania kwa East Afrika tunaweza kua tunaongoza kwa wingi wa watu dats why hatuna maendeleo najaribu kufikiri
 
M

Maharo

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Messages
2,938
Likes
1,856
Points
280
M

Maharo

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2016
2,938 1,856 280
Waziri wa Katiba na Sheria Mh.Dkt Harrison Mwakyembe amesema serikali itawafuta kazi Mahakimu wote wa mahakama za mwanzo wenye elimu ya cheti na diploma ya sheria.

“Tunahitaji mahakimu wenye uwezo wa sheria ambao wamehitimu shahada ya kwanza, hivyo serikali inaandaa utaratibu wa kuwafuta kazi mahakimu wote wenye elimu ya cheti na diploma”
Mwakyembe sio mtu wa mchezomchezo
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,766
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,766 280
Mimi nitamuona mwanaume kama atawatimu JWTZ na polisi wenye vyeti feki ....

Bila hivyo nitaamini ni moto Wa mabuwa tu....

kuangaika na wafanyakazi wenye elimu ya chini ni kuwaonea tu........

Akumbuke pia yeye alitokea kwenye Diploma.......
 
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
10,045
Likes
8,774
Points
280
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2015
10,045 8,774 280
Lete uthibitisho.....Mwanahabari Huru tunakujua kwa kuleta habari za uongo huku.
 
Ekyoma

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,905
Likes
2,370
Points
280
Ekyoma

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,905 2,370 280
Upoa wake uko wapi apo kams tatizo ni vyeti wawape nafasi wakasome ata kwa garama zao izo kesi za kuku za mahakama za mwanzo ndo zishinde watu wa diploma mtu kafanya kazi miaka kumi experience yake kubwa eti unaleta mtu aliyemaliza LLB tumain akachukue nafas yake chuo ambacho degree unapewa tu
 

Forum statistics

Threads 1,273,432
Members 490,382
Posts 30,481,445