Mbona wakuu wa mikoa na wilaya ni makada, na nafasi hizo ni za chama lakini wanalipwa na serikali. Hizi sheria ziko kiudanganyifu zaidi. Tuzishughulikie katika katiba mpya.That's what I was thinking before. Lakini if that being he case, how comes mtendaji wa chini kimajukumu anapata nguvu za kubishana na waziri wake kuhusu jambo lililo wazi na kuonyesha kama waziri kasalimu amri? ni sababu yuko CCM? ni sababu ya udhaifu wa watendaji kutokujua taratibu? au ni tatizo la mfumo mzima kuparaganyika?
Mbona wote tumewaona wakigombea na huku bado ni watumishi. Angalia wahadhiri wengi wa serikali na huku wana nafasi za chama. Au tunaomba maana ya mtumishi wa umma
Mbona wakuu wa mikoa na wilaya ni makada, na nafasi hizo ni za chama lakini wanalipwa na serikali. Hizi sheria ziko kiudanganyifu zaidi. Tuzishughulikie katika katiba mpya.
Tatizo ni Waziri hana mamlaka ya kumuwajibisha. Anatakiwa ampe ushauri akikaidi Mwajiri wake (DED) amshtaki kwenye mamlaka ya Nidhamu (Tume ya Utumishi wa Walimu). Atakuwa anapata jeuri toka kwa viongozi wa CCM wa Wilaya au kama anasapoti ya Mbunge si unajua watu ndio wanapanga safu zao za kuwalinda 2015?That's what I was thinking before. Lakini if that being he case, how comes mtendaji wa chini kimajukumu anapata nguvu za kubishana na waziri wake kuhusu jambo lililo wazi na kuonyesha kama waziri kasalimu amri? ni sababu yuko CCM? ni sababu ya udhaifu wa watendaji kutokujua taratibu? au ni tatizo la mfumo mzima kuparaganyika?
Tupatie mfano mmojawapo Mkuu. Ndio maana nimesema tumshinike Waziri awazuie na makada wengine (tunajua wapo) waachie vyeo vya kisiasa au la waachane na Utumishi wa Umma.Mbona wakuu wa mikoa na wilaya ni makada, na nafasi hizo ni za chama lakini wanalipwa na serikali. Hizi sheria ziko kiudanganyifu zaidi. Tuzishughulikie katika katiba mpya.
Wakuu wa Wilaya na Mikoa hawaajiriwi na kwa nature ya kazi zao ni Political Posta zaidi ndio maana kigezo ni kuwa Kada Mwaminifu. Lakini Katibu Tawala wa Wilaya na Mikoa (DAS na RAS) hawa ni Watumishi walioajiriwa. Ingawa ni kweli pia kwamba kuna utata kidogo kuhusu nafasi za wakuu wa Mikoa na Wilaya. Ndio maana kwenye katiba mpya jambo kubwa sana linalotakiwa kushikiwa bango ni hizi post za Wakuu wa Wilaya na Mikoa, zifutweMbona wakuu wa mikoa na wilaya ni makada, na nafasi hizo ni za chama lakini wanalipwa na serikali. Hizi sheria ziko kiudanganyifu zaidi. Tuzishughulikie katika katiba mpya.
Gerrard nakubaliana naweTatizo ni Waziri hana mamlaka ya kumuwajibisha. Anatakiwa ampe ushauri akikaidi Mwajiri wake (DED) amshtaki kwenye mamlaka ya Nidhamu (Tume ya Utumishi wa Walimu). Atakuwa anapata jeuri toka kwa viongozi wa CCM wa Wilaya au kama anasapoti ya Mbunge si unajua watu ndio wanapanga safu zao za kuwalinda 2015?
mkuu, kwahiyo mratibu yuko sahihi kulazimisha kugombea?
I concur! Kama JK anaweza kwa nini huyo mratibu asiweze?Hajakosea JK ni rais na Mwenyekiti wa Chama tawala. Kama yeye "anaweza", huya mratibu atashindwaje kwenye kata?
Kimaadili, mratibu hakutakiwa kugombea nafasi hiyo kwa sababu hawezi kutenda haki kwa wasio wa itikadi yake kama mratibu.
Lakini hoja yake ni ya msingi sana, kwamba kama Rais ameweza kuwa kiongozi wa nchi na wakati huo huo ni kiongozi mkuu wa chama kinachotawala Tz, kwa nini yeye ionekane haiwezekani!!??
Ila madhara ya Rais kuendelea kuwa kiongozi mkuu wa chama chake kwa TZ yanaonekana, hususan anaposhindwa kukosolewa hata ndani ya chama chake katika vikao. Daima yeye yuko sahihi hata kama sivyo.
Muwe mnatofautisha.... JK hakuajiriwa alichaguliwa kupitia CCM. Hoja hii inafaa kwenye mijadala mingine sio kwa huyu Mratibu wa Elimu Kata ambaye anafundisha darasani anawasimamia Walimu na Mkataba wake ni Permanent and Pensionable na hata mkataba wake wa jaira aliosaini uko very clear kuhusu ushiriki wake kwenye siasa.. Huyu akabiliwa na adhabu tu wala hii hoja ya JK haiwezi kumuokoa hata kidogo. Kwanza kuanzia itabidi wamnyang'anye Uratibu ili awe Mwalimu wa Shule ya Msingi halafu apewe hati ya mashtaka kwa kukiuka maadili ya Utumishi wa Umma. Bahati yake hayupo kwenye himaya yangu huyu ningekunjua makucha mpaka ajuteKimaadili, mratibu hakutakiwa kugombea nafasi hiyo kwa sababu hawezi kutenda haki kwa wasio wa itikadi yake kama mratibu.
Lakini hoja yake ni ya msingi sana, kwamba kama Rais ameweza kuwa kiongozi wa nchi na wakati huo huo ni kiongozi mkuu wa chama kinachotawala Tz, kwa nini yeye ionekane haiwezekani!!??
Ila madhara ya Rais kuendelea kuwa kiongozi mkuu wa chama chake kwa TZ yanaonekana, hususan anaposhindwa kukosolewa hata ndani ya chama chake katika vikao. Daima yeye yuko sahihi hata kama sivyo.
Kweli kabisa Mkuu Mwana Mpotevu. Ngoja nitafute Standing Order toleo la 2009 niletee nukuu hapatukumbuke tu kuwa urais na uenyekiti wa chama zote ni nafasi za kuchaguliwa kwa kura, uratibu wa kata ni utendaji katika utumishi wa umma na sio nafasi ya kuchaguliwa kama uenyekiti wa CCM anaoutaka sasa
Kweli kabisa Mkuu Mwana Mpotevu. Ngoja nitafute Standing Order toleo la 2009 niletee nukuu hapa
Kwani uwaziri sio kazi ya kila siku au ukuu wa mkoa na wilaya sio kazi ya kila siku. Sasa mbona wabunge ni mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya. Aaache kumwonea katibu elimu kata wa watu
Muwe mnatofautisha.... JK hakuajiriwa alichaguliwa kupitia CCM. Hoja hii inafaa kwenye mijadala mingine sio kwa huyu Mratibu wa Elimu Kata ambaye anafundisha darasani anawasimamia Walimu na Mkataba wake ni Permanent and Pensionable na hata mkataba wake wa jaira aliosaini uko very clear kuhusu ushiriki wake kwenye siasa.. Huyu akabiliwa na adhabu tu wala hii hoja ya JK haiwezi kumuokoa hata kidogo. Kwanza kuanzia itabidi wamnyang'anye Uratibu ili awe Mwalimu wa Shule ya Msingi halafu apewe hati ya mashtaka kwa kukiuka maadili ya Utumishi wa Umma. Bahati yake hayupo kwenye himaya yangu huyu ningekunjua makucha mpaka ajute
That's what I was thinking before. Lakini if that being he case, how comes mtendaji wa chini kimajukumu anapata nguvu za kubishana na waziri wake kuhusu jambo lililo wazi na kuonyesha kama waziri kasalimu amri? ni sababu yuko CCM? ni sababu ya udhaifu wa watendaji kutokujua taratibu? au ni tatizo la mfumo mzima kuparaganyika?
Ni hii hapa Mkuu.utakuwa umesaidia wengi sana, do it pls