Waandishi wa gazeti hili, mwambie bosi wenu awalipie ka study tour kafupi mtembelee, kwa mfano, New York Times pale Manhattan. Muwaulize, je, hivi mnavyoandika taarifa "John McCain amegundulika akichiti na aid wake, kwa mujibu wa taarifa za aid wake mwingine" ni kwa nini mnaweza kufanya hivyo bila kushtakiwa? Maana na wao wana sheria za defamation na libel kama sisi. Zinaweza kuwa tofauti lakini msingi wake ni huo huo wa common law, kwamba huwezi kumpakazia mtu uongo and so forth and forth. Magazeti ya Bongo sio competitor wa New York Times kabisa, sidhani kama wanaweza kukataa ku share knowledge. Ambataneni na wakili wa gazeti, na yeye akajifunze mawili matatu.
Alternatively, ni kuwaomba ubalozi wa Marekani wa coordinate, hata ku sponsor, hii study tour. Nina hakika watafurahi kuona waandishi wanataka kujifunza; wanajua uandishi wetu ni kwamba umechoka, to say the least.
Ukiandika habari binafsi kumchafua mtu unaweza kuishia kizimbani. Kama huna hakika na habari zako ni lazima uhofie kwenda kizimbani. Usipotaka kwenda kizimbani unaficha identity ya mlengwa "waziri mwenye nywele ndefu." Ukificha identity ya mlengwa maana yake unatudhihirishia huna hakika. Habari zisizokuwa na uhakika za kumpakazia mtu ni udaku. Ukitaka kuandika udaku usio na hakika kama huu unachoweza kufanya ili kuleta sense katika ripoti yako ni kusema "...kwa mujibu wa ishara za walinzi hao ambao wamedai wamekuwa wakishuhudia matukio hayo, kigogo huyo ni waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh. Emmanuel Nchimbi." Vinginevyo ni incompetence kiuandishi wa habari, ukilaza. Taarifa hiyo hapo juu, mwandishi yeyote wa Tanzania hawezi kunibishia kwamba ni udaku na utehemu, ukilaza.
Udaku na ukilaza.

Kuhani with due respect,
wewe umejuaje kama huu ni udaku?
Nchimbi nae amezidi sana habari zake tunazo siku nyingi na ubabe wake tunaujua...ila siku zake zinahesabika.....
Hii haina athari yeyote kwa taifa;bali ina madhara kwa mtu binafsi na maisha yake.Udaku unapohamia JF kazi kweli! Hii ina maslahi ya taifa jamani?
Waziri kijana wa serikali ya awamu ya nne, inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, katika Wizara nyeti, hivi karibuni amefanya kinyaa baada ya kufumwa akifanya ngono na mke wa rafiki yake ndani ya gari...
Chanzo cha habari kilisema kuwa, tukio hilo la aibu kwa Waziri huyo, mwenye mke na watoto wawili, lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye maegesho ya Hoteli ya Sea Cliff, Masaki jijini Dar es Salaam, jirani na nyumbani kwake, ambapo mheshimiwa alibambwa laivu.
Awali ilidaiwa kuwa, Waziri huyo bonge, mwenye nywele ndefu, amekuwa akiwalipa walinzi wa pakingi hiyo kiasi cha shilingi elfu tano kila anapotia timu mahali hapo kwa lengo la kugandamiza malavidavi.
Kilisema miongoni mwa askari hao kulikuwa na mjeshi mgeni ambaye alikuwa hajui gemu hilo la mheshimiwa hivyo kulibumburua kirahisi kufuatia kutojua juu ya mshiko unaotolewa na kigogo huyo kwa walinzi wenzake.
Chanzo hicho kilidai kwamba, Waziri huyo mzoefu wa migogoro ndani ya chama chake, alifika katika eneo hilo la tukio kwa kutumia gari ndogo aina ya RAV 4 yenye vioo vyeusi, ambapo iliegeshwa kwa muda mrefu, jambo lililosababisha askari huyo aliyekuwa hajui dili kwenda kuangalia kulikoni!
Ilidaiwa kuwa, baada ya mlinzi huyo kumkurupusha mheshimiwa huyo katika maraha na mke wa mshkaji wake, aliondoa gari hilo kwa kasi, na kuondoka katika eneo hilo baada ya kugundua watu wameshtukiwa kamchezo kake kachafu.
Gazeti hili lilikwenda eneo la tukio kwa lengo la kupata a-z ya ishu hiyo, ambapo kwa mujibu wa mmoja wa walinzi hao, ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini, alikiri kuisikia skandali hiyo kwa maafande wenzake, huku akionesha kuwa na woga mkubwa katika kuizungumzia.
Nimesikia kwa jamaa zangu hapa lakini huyo Waziri nasikia ni mtu mkatili sana, kwa hiyo hata mimi namuogopa, alisema mlinzi huyo huku akimtaka Mwandishi kuondoka eneo hilo.
Aidha, alipotwangwa swali juu ya ukweli kuwa mheshimiwa huyo siku ya tukio alikuwa na mke wa rafiki yake, afande alisema: Ni kweli mwanamke huyo ni mke wa mshkaji wa kigogo huyo na mara kwa mara hutinga naye hapa hotelini.
Gazeti la Risasi - Jumamosi
Kama waziri amekiuka maadili ya kijamii kwa kiwango hiki na ushahidi upo...HATUFAI... Awajibike kama mwenzake wa Liberia aliyefumwa "akiwatunga" wanawake wawili kwa mpigo...!Waziri kijana wa serikali ya awamu ya nne, inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, katika Wizara nyeti, hivi karibuni amefanya kinyaa baada ya kufumwa akifanya ngono na mke wa rafiki yake ndani ya gari...
Chanzo cha habari kilisema kuwa, tukio hilo la aibu kwa Waziri huyo, mwenye mke na watoto wawili, lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye maegesho ya Hoteli ya Sea Cliff, Masaki jijini Dar es Salaam, jirani na nyumbani kwake, ambapo mheshimiwa alibambwa laivu.
Awali ilidaiwa kuwa, Waziri huyo bonge, mwenye nywele ndefu, amekuwa akiwalipa walinzi wa pakingi hiyo kiasi cha shilingi elfu tano kila anapotia timu mahali hapo kwa lengo la kugandamiza malavidavi.
Kilisema miongoni mwa askari hao kulikuwa na mjeshi mgeni ambaye alikuwa hajui gemu hilo la mheshimiwa hivyo kulibumburua kirahisi kufuatia kutojua juu ya mshiko unaotolewa na kigogo huyo kwa walinzi wenzake.
Chanzo hicho kilidai kwamba, Waziri huyo mzoefu wa migogoro ndani ya chama chake, alifika katika eneo hilo la tukio kwa kutumia gari ndogo aina ya RAV 4 yenye vioo vyeusi, ambapo iliegeshwa kwa muda mrefu, jambo lililosababisha askari huyo aliyekuwa hajui dili kwenda kuangalia kulikoni!
Ilidaiwa kuwa, baada ya mlinzi huyo kumkurupusha mheshimiwa huyo katika maraha na mke wa mshkaji wake, aliondoa gari hilo kwa kasi, na kuondoka katika eneo hilo baada ya kugundua watu wameshtukiwa kamchezo kake kachafu.
Gazeti hili lilikwenda eneo la tukio kwa lengo la kupata a-z ya ishu hiyo, ambapo kwa mujibu wa mmoja wa walinzi hao, ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini, alikiri kuisikia skandali hiyo kwa maafande wenzake, huku akionesha kuwa na woga mkubwa katika kuizungumzia.
Nimesikia kwa jamaa zangu hapa lakini huyo Waziri nasikia ni mtu mkatili sana, kwa hiyo hata mimi namuogopa, alisema mlinzi huyo huku akimtaka Mwandishi kuondoka eneo hilo.
Aidha, alipotwangwa swali juu ya ukweli kuwa mheshimiwa huyo siku ya tukio alikuwa na mke wa rafiki yake, afande alisema: Ni kweli mwanamke huyo ni mke wa mshkaji wa kigogo huyo na mara kwa mara hutinga naye hapa hotelini.
Gazeti la Risasi - Jumamosi
Ngono garini ni aibu kwa kijamii. Ni bora ajiuzulu kwa kutunza heshima ya Baraza la Mawaziri.
Sio Nchimbi huyu kweli?