Waziri wa JK afumwa akifanya ngono garini

Huyu ni Nchimbi tu ana ki-afro old fashioned,a bit plum,ni ruthless according to the people who have crossed swords with him,and he has been seen with other people's wives in quesionable situations and he has 2 children,BINGO! not forgetting ministry of defence?
 
Waandishi wa gazeti hili, mwambie bosi wenu awalipie ka study tour kafupi mtembelee, kwa mfano, New York Times pale Manhattan. Muwaulize, je, hivi mnavyoandika taarifa "John McCain amegundulika akichiti na aid wake, kwa mujibu wa taarifa za aid wake mwingine" ni kwa nini mnaweza kufanya hivyo bila kushtakiwa? Maana na wao wana sheria za defamation na libel kama sisi. Zinaweza kuwa tofauti lakini msingi wake ni huo huo wa common law, kwamba huwezi kumpakazia mtu uongo and so forth and forth. Magazeti ya Bongo sio competitor wa New York Times kabisa, sidhani kama wanaweza kukataa ku share knowledge. Ambataneni na wakili wa gazeti, na yeye akajifunze mawili matatu.

Alternatively, ni kuwaomba ubalozi wa Marekani wa coordinate, hata ku sponsor, hii study tour. Nina hakika watafurahi kuona waandishi wanataka kujifunza; wanajua uandishi wetu ni kwamba umechoka, to say the least.

Ukiandika habari binafsi kumchafua mtu unaweza kuishia kizimbani. Kama huna hakika na habari zako ni lazima uhofie kwenda kizimbani. Usipotaka kwenda kizimbani unaficha identity ya mlengwa "waziri mwenye nywele ndefu." Ukificha identity ya mlengwa maana yake unatudhihirishia huna hakika. Habari zisizokuwa na uhakika za kumpakazia mtu ni udaku. Ukitaka kuandika udaku usio na hakika kama huu unachoweza kufanya ili kuleta sense katika ripoti yako ni kusema "...kwa mujibu wa ishara za walinzi hao ambao wamedai wamekuwa wakishuhudia matukio hayo, kigogo huyo ni waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh. Emmanuel Nchimbi." Vinginevyo ni incompetence kiuandishi wa habari, ukilaza. Taarifa hiyo hapo juu, mwandishi yeyote wa Tanzania hawezi kunibishia kwamba ni udaku na utehemu, ukilaza.

Udaku na ukilaza.
 
Kuhani with due respect,

wewe umejuaje kama huu ni udaku? Mimi nadhani tufike sehemu tuwe wakweli. Kwamba huyu mwandishi kaficha identity siyo kitu kigeni. Na kitu KIKUBWA ambacho inabidi ukijue (kama ulikuwa hujui) ni kwamba waandishi wetu wanafanya kazi katika mazingira magumu sana, under one of the most draconian legislation hapa duniani-replica of Soviet empire or other highly developed dictatorial regimes like Zimbabwe. Ofcourse siitetei hii habari..lakini najiweka kwenye miguu ya mwandishi wa hapa bongo anayejaribu kuandika habari ya kigogo! Kubenea is in his own league by our standards!

Mfano wako wa New York Times or other western media sources, cant apply here. Maana wenzetu wana fanya kazi katika mazingira yanayoeleweka. I mean sheria ziko wazi na hazimbagui wala kumuonea mtu. Ndo maana mtu anaweza akafanya investigative jorunalism yake na akatoa habari inayomuhusu kigogo (Eliot Spitzer au akina Clinton) bila wasi wasi kwa sababu anajua sheria ipo. (try that in the present Russia or other banana republics kama hujadungwa risasi ukasahaulika)

Kama ingekuwa ahivyo, Kubenea angekuwa gerezani siku nyingi. Ni mara ngapi kaandika taarifa zake..na tunaona watu wanaitisha press conference kumpeleka mahakamani? na hakuna anayekwenda? hoja ni kwamba wenye moyo wa akina Kubenea ni wachache kama wapo.

Hitimisho, ukiwa unafanya evaluation ya media hapa kwetu usifanye kwa kulinganisha na mataifa ya wenzetu ambako uhuru wa habari siyo tuu ni kamilifu lakini vile vile unalindwa na serikali. Ni kutomtendea haki mwaandishi kumlinganisha na NY Times au The Sun. ni maembe na machungwa. its so insincere kulinganisha mazingira ya uandishi wetu wa bongo na wa US au UK....Usione vya elea vimeundwa.....
 
Waandishi wa gazeti hili, mwambie bosi wenu awalipie ka study tour kafupi mtembelee, kwa mfano, New York Times pale Manhattan. Muwaulize, je, hivi mnavyoandika taarifa "John McCain amegundulika akichiti na aid wake, kwa mujibu wa taarifa za aid wake mwingine" ni kwa nini mnaweza kufanya hivyo bila kushtakiwa? Maana na wao wana sheria za defamation na libel kama sisi. Zinaweza kuwa tofauti lakini msingi wake ni huo huo wa common law, kwamba huwezi kumpakazia mtu uongo and so forth and forth. Magazeti ya Bongo sio competitor wa New York Times kabisa, sidhani kama wanaweza kukataa ku share knowledge. Ambataneni na wakili wa gazeti, na yeye akajifunze mawili matatu.

Alternatively, ni kuwaomba ubalozi wa Marekani wa coordinate, hata ku sponsor, hii study tour. Nina hakika watafurahi kuona waandishi wanataka kujifunza; wanajua uandishi wetu ni kwamba umechoka, to say the least.

Ukiandika habari binafsi kumchafua mtu unaweza kuishia kizimbani. Kama huna hakika na habari zako ni lazima uhofie kwenda kizimbani. Usipotaka kwenda kizimbani unaficha identity ya mlengwa "waziri mwenye nywele ndefu." Ukificha identity ya mlengwa maana yake unatudhihirishia huna hakika. Habari zisizokuwa na uhakika za kumpakazia mtu ni udaku. Ukitaka kuandika udaku usio na hakika kama huu unachoweza kufanya ili kuleta sense katika ripoti yako ni kusema "...kwa mujibu wa ishara za walinzi hao ambao wamedai wamekuwa wakishuhudia matukio hayo, kigogo huyo ni waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh. Emmanuel Nchimbi." Vinginevyo ni incompetence kiuandishi wa habari, ukilaza. Taarifa hiyo hapo juu, mwandishi yeyote wa Tanzania hawezi kunibishia kwamba ni udaku na utehemu, ukilaza.

Udaku na ukilaza.

Kuhani
Anzisha gaeti lako maana yaonekana unajua kuandika kuliko sisi, na hata kuliko NY Times.
 
Kuhani with due respect,

wewe umejuaje kama huu ni udaku?

Bwana Masanja, heshima mbele mkuu. Hii habari ni udaku kwa sababu imetoka kwenye gazeti la udaku, imeandikwa na mwandishi wa udaku, na wanaomtetea huyo mwandishi, boss na/au kampuni ni wadaku.
 
Kuhani,
Wanachofanya hapa Marekani, ambacho sijui kama Tanzania wanafanya, ni kwamba kila gazeti lina lawyer wake ambaye kama kuna suala la utata kisheria, au la uwezekano wa kupelekwa mahakamani, mawakili ndio wanaokuwa na last say, badala ya editors. Kuna mara nyingi magazeti yamekalia stori baada ya mawakili wao kuwatahadharisha juu ya uwezekano wa kuwa sued mahakamani. Lakini lawyer akitoa green light, kama ni issue inamhusu mheshimiwa fulani basi stori inatundikwa front page.
 
Huwa nafurai kuona vurumai hizi!
(Sio za ngono garini!)

Nini udaku na nini siasa! Hebu Kula Breki!!! uone Udaku!
Kuna Mpya!

Wenye picah watoe basi!!
 
Nchimbi nae amezidi sana habari zake tunazo siku nyingi na ubabe wake tunaujua...ila siku zake zinahesabika.....
 
Waziri kijana wa serikali ya awamu ya nne, inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, katika Wizara nyeti, hivi karibuni amefanya kinyaa baada ya kufumwa akifanya ngono na mke wa rafiki yake ndani ya gari...

Chanzo cha habari kilisema kuwa, tukio hilo la aibu kwa Waziri huyo, mwenye mke na watoto wawili, lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye maegesho ya Hoteli ya Sea Cliff, Masaki jijini Dar es Salaam, jirani na nyumbani kwake, ambapo mheshimiwa alibambwa ‘laivu’.

Awali ilidaiwa kuwa, Waziri huyo bonge, mwenye nywele ndefu, amekuwa akiwalipa walinzi wa ‘pakingi’ hiyo kiasi cha shilingi elfu tano kila anapotia timu mahali hapo kwa lengo la ‘kugandamiza malavidavi’.

Kilisema miongoni mwa askari hao kulikuwa na mjeshi mgeni ambaye alikuwa hajui ‘gemu’ hilo la mheshimiwa hivyo kulibumburua kirahisi kufuatia kutojua juu ya mshiko unaotolewa na kigogo huyo kwa walinzi wenzake.

Chanzo hicho kilidai kwamba, Waziri huyo mzoefu wa migogoro ndani ya chama chake, alifika katika eneo hilo la tukio kwa kutumia gari ndogo aina ya RAV 4 yenye vioo vyeusi, ambapo iliegeshwa kwa muda mrefu, jambo lililosababisha askari huyo aliyekuwa hajui ‘dili’ kwenda kuangalia kulikoni!

Ilidaiwa kuwa, baada ya mlinzi huyo kumkurupusha mheshimiwa huyo katika maraha na mke wa mshkaji wake, aliondoa gari hilo kwa kasi, na kuondoka katika eneo hilo baada ya kugundua watu wameshtukiwa kamchezo kake kachafu.

Gazeti hili lilikwenda eneo la tukio kwa lengo la kupata ‘a-z’ ya ‘ishu’ hiyo, ambapo kwa mujibu wa mmoja wa walinzi hao, ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini, alikiri kuisikia skandali hiyo kwa maafande wenzake, huku akionesha kuwa na woga mkubwa katika kuizungumzia.

“Nimesikia kwa jamaa zangu hapa lakini huyo Waziri nasikia ni mtu mkatili sana, kwa hiyo hata mimi namuogopa,” alisema mlinzi huyo huku akimtaka Mwandishi kuondoka eneo hilo.

Aidha, alipotwangwa swali juu ya ukweli kuwa mheshimiwa huyo siku ya tukio alikuwa na mke wa rafiki yake, afande alisema: “Ni kweli mwanamke huyo ni mke wa mshkaji wa kigogo huyo na mara kwa mara hutinga naye hapa hotelini”.

Gazeti la Risasi - Jumamosi

Hii Habari haingi akilini mlinzi ni mpya alikuwa hajuwi kinachoendelea kwa maana hiyo hawajuwi waliokuwemo katika gari hiyo let say alikuwa huyo waziri wa kiwete lakini pia tujalia hakuwa na mke wa rafiki yake kwa wakati huo kwani haikujulikana kama wakati ule alikuwa na huyo mke wa rafiki yake au ameokota uoza mwingine majiani au tujalia alifika mahali hapo na mkewe siku hiyo kukamilisha hizo fantasi zake hakukuwa na mtu aliye mjuwa ni msichana gani aliyekuwemo ndani ya gari hilo .sasa itakuwaje mtu akupurupuke na kusema eti alikuwa na mke wa rafiki yake hata kama alikuwa nakuja nae siku zote pale lakini kwa siku ile inawezekana ikawa hakuja nae
 
Waziri kijana wa serikali ya awamu ya nne, inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, katika Wizara nyeti, hivi karibuni amefanya kinyaa baada ya kufumwa akifanya ngono na mke wa rafiki yake ndani ya gari...

Chanzo cha habari kilisema kuwa, tukio hilo la aibu kwa Waziri huyo, mwenye mke na watoto wawili, lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye maegesho ya Hoteli ya Sea Cliff, Masaki jijini Dar es Salaam, jirani na nyumbani kwake, ambapo mheshimiwa alibambwa ‘laivu’.

Awali ilidaiwa kuwa, Waziri huyo bonge, mwenye nywele ndefu, amekuwa akiwalipa walinzi wa ‘pakingi’ hiyo kiasi cha shilingi elfu tano kila anapotia timu mahali hapo kwa lengo la ‘kugandamiza malavidavi’.

Kilisema miongoni mwa askari hao kulikuwa na mjeshi mgeni ambaye alikuwa hajui ‘gemu’ hilo la mheshimiwa hivyo kulibumburua kirahisi kufuatia kutojua juu ya mshiko unaotolewa na kigogo huyo kwa walinzi wenzake.

Chanzo hicho kilidai kwamba, Waziri huyo mzoefu wa migogoro ndani ya chama chake, alifika katika eneo hilo la tukio kwa kutumia gari ndogo aina ya RAV 4 yenye vioo vyeusi, ambapo iliegeshwa kwa muda mrefu, jambo lililosababisha askari huyo aliyekuwa hajui ‘dili’ kwenda kuangalia kulikoni!

Ilidaiwa kuwa, baada ya mlinzi huyo kumkurupusha mheshimiwa huyo katika maraha na mke wa mshkaji wake, aliondoa gari hilo kwa kasi, na kuondoka katika eneo hilo baada ya kugundua watu wameshtukiwa kamchezo kake kachafu.

Gazeti hili lilikwenda eneo la tukio kwa lengo la kupata ‘a-z’ ya ‘ishu’ hiyo, ambapo kwa mujibu wa mmoja wa walinzi hao, ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini, alikiri kuisikia skandali hiyo kwa maafande wenzake, huku akionesha kuwa na woga mkubwa katika kuizungumzia.

“Nimesikia kwa jamaa zangu hapa lakini huyo Waziri nasikia ni mtu mkatili sana, kwa hiyo hata mimi namuogopa,” alisema mlinzi huyo huku akimtaka Mwandishi kuondoka eneo hilo.

Aidha, alipotwangwa swali juu ya ukweli kuwa mheshimiwa huyo siku ya tukio alikuwa na mke wa rafiki yake, afande alisema: “Ni kweli mwanamke huyo ni mke wa mshkaji wa kigogo huyo na mara kwa mara hutinga naye hapa hotelini”.

Gazeti la Risasi - Jumamosi
Kama waziri amekiuka maadili ya kijamii kwa kiwango hiki na ushahidi upo...HATUFAI... Awajibike kama mwenzake wa Liberia aliyefumwa "akiwatunga" wanawake wawili kwa mpigo...!
 
Ngono garini ni aibu kwa kijamii. Ni bora ajiuzulu kwa kutunza heshima ya Baraza la Mawaziri.
 
Mmmh hi ni ishu pia yakujadili.Kama waziri ambae ni public official akiwa na tabia za kizinzi namna hii na mawazo yake si yatakua yaki uzinzi uzinzi vile?Tujadili hili jamani kwani LISEMWALO LIPO!!
Mpaka sasa mwenye nywele ndefu ni Nchimbi.
 
Ngono garini ni aibu kwa kijamii. Ni bora ajiuzulu kwa kutunza heshima ya Baraza la Mawaziri.

Mkuu ngono na mke wa mtu ni tatizo, hii inaonesha kuwa una tamaa kama una tamaa na wake za watu basi pia unatamaa na mali za wengine au mali za umma, ngono kwenye gari nayo ni tatizo hata kama ni mkeo inaonekana wewe si mvumilivu kwa nini usivumiie kwa dk chahce tu mpaka ukafika kwenye ehemu ya faragha? Ni ujinga sana, kama ni kweli(kitu ambacho naamini ni kweli) ni aibu sana kama mheshimiwa bado hajamwajibisha huyu jamaa. Kutokana na kukosa kwae maadili yeye mwenyewe hawezi kujiwajibisha.
 
Jamani Huyu ni mgoni kwa maana nyingine ni mngoni hivyo msishangae saana. Mngoni mwanaume mpatie pesa akuwekee utazikuta zote, Lakini usimwombe akusindikizie au akulindie mkeo. Utakuta kila kitu kimegeuka kama alivyofumaniwa. Huenda aliombwa am-drop mke wa rafiki lakini ndo hivyo tena safari imeshakuwa ndeefu, mara pacha n.k.
 
Back
Top Bottom