Waziri wa JK aanza fitina za urais 2015

Very funny. Unajua kuna mtu alisema kama unataka kumjua mtu fulani ni nani swali la kwanza ni anafanya kazi gani? au anafanya kazi wapi? au aliwahifanya nini wapi? sasa huyu mnayemsema sijui hata kama anaweza jibiwa maswali yote hayo? sijawahi kusikia amefanya nini wapi? jamani tunataka mtu ajifunzie kwetu?
 
Ndio maana katiba mpya inatakiwa ingawaje Ali Hassan Mwinyi aliuliza eti kwa nini katiba mpya sasa, nami nikajiuliza hivi kwa nini anataka katiba mpya baadaye. Maanake naye ana yule dogo Hussein yawezekana anataka kijana wake apenyeze juu kwa ubovu wa katiba. Yeye atachaguliwa na NEC kwa kuchakachua tu lakini kura yangu hapati ng'o.
 
Uuuwiiiiii!!! Hivi kumbe Urais Tz unaweza tu kukurupuka na kuwa Rais? Kama Nchimbi naye ana ndoto za kuwa Rais tumekwisha wajameni!!! What kind of Useless President? Yaani Tz nakuhurumia utakuja kuongozwa hata na mambumbumbu! Kama Mkwere amechemsha wewe Nchimbi utaweza kweli? Shame of you John!!

Na hawa WZNZBR wanaodai ni zamu yao tuliandikishiana wapi kwamba tutapokezana kijiti? Si mna Serikali yenu? Huku kwetu mnataka nini tena? Hata kwa dawa hamwezi kupata Rais upande wenu, kwa mfumo huu wa vyama vingi? Siyo rahisi wandugu hilo tunawaomba msahau kabisaaaaaaaaa!! Zamu yenu ilikuwa 2005 ndo mlikuwa na nafasi kubwa mkazidiwa kete na Mkwere sasa Kwishney!!!!!!!!
 
Nchimbi does not have qualities na pia hana mvuto kwa wananchi.
David Mathayo safi kabisa.
 
Back
Top Bottom