Waziri wa Israel Benjamin Netanyahu kuelekea Russia hivi leo

Me I and my self

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,029
8,637
Waziri Mkuu wa nchi ya Israel Benjamin Netanyahu hivi leo anaelekea nchini Urusi kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin kujadiri na kumuonya suala la Iran kujaribu kufanya Lebanon kuwa eneo la kutengeneza makombora ya nuclear na aina nyingine.

Aidha Netanyahu amesema anataka kujadiliana na Putin kuhusu juhudi za Urusi kuanzisha uwepo wa kijeshi nchini Syria,aliongeza na kusema kuwa Israel inashutumu vikali ziara za Iran huko Lebanon na kusema Israel itachukuwa hatua dhidi yake.

Swali la kujiuliza
Kwa nini nchi nyingine ikifanya Jambo inchi nyingine haitaki hilo jambo litendeke.
 
Inaonyesha wewe bado novice kuhusiana na Geopolitics.

Labda nikueleze kwa ufupi:-
Russia ni rafiki wa Assad ambay ndiye Raisi wa Syria.

Lebanon ni Adui wa Israel na
Lebanon ninrafiki wa Iran
Iran ni adui wa Israel.
Iran ni adui wa USA.
uSa ni rafiki wa Israel na Saudi kingdom.
Saudi kingdom ni adui wa Iran.

Serikali ya Syria ni Adui wa Nchi za Magharibi especially France na UK pamoja Na Israel.

Russia anazitumia Syria zaidi na hata Iran kwa kiasi fulani ili apate ushawishi eneo la Mashariki ya Kati. Dhidi ya Israel na Mataifa ya Magharibi.

Unaweza ku-balance hii simultaneous equation na kupata sababau kwanini hizi nchi haziaminiani.
 
Back
Top Bottom