Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses awasha umeme kata ya Nachunyu

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Nachunyu kwenye mkutano maalum wa kuwasha umeme kijijini hapo ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kila jambo aliloliahidi litakamilika mapema.

Wakazi wa kijiji cha Nachunyu jimbo la Mtama wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhudia uwashaji wa umeme kijijini hapo uliofanywa na Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.


Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikata utepe kuashiria uwashaji wa umeme katika kata ya Nachunyu.

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akifungua kitambaa kama ishala ya uwashaji wa umeme katikakata ya Nachunyu.

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasha taa kuashilia kuwashwa umeme katika kata ya Nachunyu.

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wananchi wa Nachunyu mara baada ya kuwasha umeme katika kata ya Nachunyu.
 
Mmh kazi tanesco leo a nafanya mbunge anazingu nguzo zilipo nguzo ndo hapo umeme umeishia majumbani gizaa
O
 
Yaani nikimuona Nape huwa nafarijika sana kwamba kunavijana wapo imara wasioyumbishwa na wasiopenda rushwa.
 
Badili heading, huyo ni mbunge wa mtama, hivyo kichwa cha habari kilitakiwa kisome hivi... "MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA AMBAYE NI WAZIRI WA .... AWASHA UMEME.... .. ". Maana waziri wa habari kuhusika na suala la nishati ambalo lina wizara yake na waziri wake ni sasa na UDART kutoa ratiba za safari za TRL.
 
Kawapelekea umeme ili waangalie bunge saa kumi za usiku tehtehteh...ila Hongera Nnauye kwa kazi nzuri..big Up, ila wambie serikali yako wapeleke na majimbo ya wapinzani maana mwaka juzi wananchi wa ubungo walikosa maji kisa mbunge wao ni wa upande mwingine.
 
Usiniambie kuwa wewe hujawahi hata kufika katika vijiji vya mkoa wa Pwani, achilia mbali huko Nanjlilinji. Na wewe R.B, hongera sana, kumbe wewe ndo Katibu wa Mbunge.
54.JPG

katibu wa mbunge unamuona na mic ; akiangalia juu ; KARIBU NA DANGER, MUNGU MKUBWA DANGER HAIJATOEA MBUNGE NA KATIBU WALIKUWA KWENYE DANGER ZONE . NDANI YA UTEPE
 
Mmh kazi tanesco leo a nafanya mbunge anazingu nguzo zilipo nguzo ndo hapo umeme umeishia majumbani gizaa
O
UMEONA WATU WA TANESCO??? WALIOPO NI VIONGOZI WA CHAMA
 
Kwenye mambo ya maendeleo, wenye hekima huwa wanaweka itikadi za vyama mbali.
 
Back
Top Bottom