Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mwakyembe akutana na Diamond

Serikali na Wcb yamekwisha...
Lazima watz tutambue imefika wakati sasa hivi tz ukimgusa diamond kwa vyovyote jua umeigusa bongo flavour....
So chibu hawezi kushuka not easy hivo....
Pelekeni uchafu wenu hukoooo. Haya ndio mambo yanayowapumbaza vijana wa Tanzania wanakuwa kama mazezeta. Wanasiasa wanafanya wanavyotaka wakati wao wapo wanashabikia vitu visivywasaidia hata kidogo.
 
Cmg watabak kuwa cmg hata wafanyeje jaman penye ukweli pasemwe .....diamond na ukubwa wake kisanii bt still clouds wanaitajikaa kumpaaa back up ,hzo nyimbo zikitokaa mwishoni mpka sasa hiv zinakaribiaa kupoteaa masikioni kwa kuwa hazina airtime ,ninaye muoneaa huruma zaidi ni Mboso manake katoka kipindi kibayaaaa ......though wametumiaa nguvu kubwa kumpromoti bt still hajakaa sawaaa.......
So cmg watabaki kuwa cmg miaka 1000
 
Kwahiyo CMG ndo walifungia au ndo walileta bifu lake na Serikali hebu dadavua nikuunge mkono
 
Hauwezi kubishana na naibu rais kwasasa!! Makebe amesoma alama za nyakati
 
Wengine tulisema daimond ni serekari kuna wapuuzi walibisha
Na tulisema daimond ni zaidi ya hiyo wizara tena wapuuzi wakabisha
Hata mwakiembe alikebehi kuwa hawezi kuitwa daimond na kukaa nae peke yake mbona leo wizara nzima pamoja na basata imekaa na mtu mmoja?

Haya mliobisha njooni tena
 
Back
Top Bottom