Waziri wa habari Dr Fenella Mkangalla alipotembelea Twiga stars walipiga Kambi Ruvu JKT

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Mwenye Kombati ni Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya





 
Mhh huyu mama mbona nguo aliyovaa ina mitego? Nguo ya ndani na umbo linaonekana au ni macho yangu?? Huyu mama ndio Waziri?

hahahaha........nami nimejiuliza maswali hayo hayo......wacha nipate "vigongo" toka kwa mama watoto wangu asubuhi asubuhi.......eti nachunguza sana.....duuhh!
 
Wadau wengine bana sasa mlitaka asivae nguo ya ndani au??bora mngesema angevaaa G string ili ule ufito usionekane wabongo bana hawana dogo akivaa kimini shida ufito wa chupi ukionekana shida,akivaa jeans shida hebu tujadili mambo muhimu na sio la uvaaji wa nguo
 
Wadau wengine bana sasa mlitaka asivae nguo ya ndani au??bora mngesema angevaaa G string ili ule ufito usionekane wabongo bana hawana dogo akivaa kimini shida ufito wa chupi ukionekana shida,akivaa jeans shida hebu tujadili mambo muhimu na sio la uvaaji wa nguo

well sikulaumu kwani inawezekana mtazamo wako na wake hautofautiani ILA kumbuka kuwa kiongozi wa watu lazima uwe mfano wa kuigwa katika jamii hivyo hivyo katika familia kama baba unavaa mlegezo wat do u expect from your kids??
kwani angevaa nguo inayomsitiri umbo lake la ndani na "chupi" yake huoni inaongeza heshima hata kwa baadhi ya wanajamii..
"where there is need for criticism criticise and give credit where appropriate"
 
ogah pole kaka kwa vigongo kutoka kwa wife ni kweli haipendezi kwa waziri kuwa hivi!!!
 
waziri kapiga kombat ya ndani. Wale tulifika frontline tumimwelewa.
 
ogah pole kaka kwa vigongo kutoka kwa wife ni kweli haipendezi kwa waziri kuwa hivi!!!

Males shauvinism at best... Kwani ni lazima avae mnavyopenda nyinyi? Kavaa nguo iliyomsitiri vizuri tu mbona? Kumbuka kuna wengine pia wanadhani haipendezi kwa waziri kuvaa kama na akina Nagu, Ghasia, Makinda, Kabaka au Tibaijuka wanavyovaa.
 
Hivi zamani kabla ya hizi chupi za G String hazijaingia rasmi hapa nchini... wanawake walikuwa wanavaa chupi za namna gani?
 
Pichani kuna wenye kombati watatu.

Mkuu kwani katika hao watatu wenye kombani nani mabegani mwake kunaonesha cheo cha Meja?. Maana kama umejua kuwa zote tatu ni kombati ni lazima wewe utakuwa mtaalam na kujua hata aina ya vyeo kwa kuangalia mabegani.
 
Huyu mama yuko so natural, hataki madoido wala manywele ya dukani, safi sana, ni mchapa kazi kwa uhakika!!
 
Back
Top Bottom