Waziri wa Fedha Wz’bar asema Z’bar haiwezi kuchimba mafuta bila imani ya Mh Kikwete na Izini ya Bung | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa Fedha Wz’bar asema Z’bar haiwezi kuchimba mafuta bila imani ya Mh Kikwete na Izini ya Bung

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Jun 24, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1][/h]Written by Hassan10 // 24/06/2011 // Habari // No comments

  [​IMG]Mh kikwete akaguwa mtambo wao mpya wa Gus asilia.

  [​IMG]Smz (Wz,bar) tusubiri imani na izini kutoka kwa Mh kikwete na Bunge lake la Tanganyika.

  Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo
  Zanzibar, Omar Yussuf Mzee asema bila ya kuwa na moyo mkunjufu Mh Jakaya
  Kikwete na Bunge la Muungano basi Zanzibar haiwezi kunufaika na mafuta
  yake.
  Ndugu zangu Wzanzibar kama hali ni hivyo kuwa Kikwete arizike na Bunge
  likubali basi tusahau Zanzibar kuchimba mafuta na kufaidisha wananchi
  wetu kama vile Watanganyika wanavyo faidika na Rasilimali zao Gus,Almasi
  ya Tanzanet na miniral yengine. Shakushangaza ni hivi karibuni Mh
  Kikwete alifungua mtambo mwengine mpya wa ushimbaji wa Gus, Jee
  Wa-Tanganyika walipata izini ya Rais Wa Zanzibar Mh Shein na baraka za
  Baraza la Uwakilishi ?
  Au sheria hizo bara hazifanyi kazi la kini Zanzibar zinafanya kazi? kama
  ni hivyo kunafada gani ya kuendelea viongozi wetu kutulazimisha
  Wazanzibar tulinde na tuenzi Muungano hali yakuwa umetubana rohoni
  kushindwa hata kumeza mate.
  Hivi sasa picha halisi ya unafiki wa viongozi wetu wa smz inajitokeza
  wazi kuwa ubabe wao mkubwa ni kuwakandamiza Wazanzibar na kuparadia
  uongozi wasio uweza na kuwa na uzalendo wa nchi.
  Kwa mtazamo wangu katu sizani kuwa Kikwete ataruhusu Zanzibar kufaidika
  na mafuta yake wenyewe kama vile Tanganyika inavyo faidika na Miniral
  zake Gus, Zahabu, makaa ya mawe na Tanzanet.
  Na ikiwa suala la mafuta viongozi wetu wa Smz wanasema lisukumwe ktk
  Bunge ili kupigiwa kura kuizinisha mafuta ya Zanzibar yachimbwe na
  yanufaishe Wazanzibar kutatua matatizo yao ya kijamii, Basi Wazanzibar
  tusahau yaguju Wabunge 1% wa Zanzibar wakashindane na %99 jawabu
  tunalijuwa na viongozi wetu wasi tufanye wazanzibar mapepe.
  Kiufupi unafiki wa viongozi wetu wa smz nimkubwa na nihatari huenda
  Zanzibar ikapotea ktk mikono yao ya kuwaa watifu kwa Tanganyika na
  kuwabebesha mzigo mzito wa Muungano Wazanzibar,
  Hivi sasa Zanzibar haiwezi kujitanua vyoyote vile ikiwa viongozi wetu
  wa smz hawaja badilika na kuachana na unafiki wa kujizalilisha kwa
  Tanganyika na kuhisi risk Zao zinatoka kule.
  Muungano haufai na hauna sifa tena yakulindwa na kueziwa, vipi tulinde
  kitu shenye kutumiza na kubwa hicho kilindwacho hakipo? Muungano umekufa
  tokea ilipokuwa Tanganyika ambae ndio mchirika mkubwa wa nchi na
  Zanzibar.
  Tusikubali Wzanzibar kuburuzwa na viongozi wetu wasio na nia safi na
  Jamii yetu, viongozi wengi wa smz huangalia zaidi maslahi yao binafsi
  kuliko ya taifa la Watu wa Zanzibar ambao kwa njia hii au nyingine
  Wzanzibar ndio wadau wa kujuwa Muungano una faida au hauna.
  Hatma ya Zanzibar itolewe kwa Wzanzibar wenyewe ktk kura ya maoni sio
  kundi dogo la smz la utapia mlo, Zanzibar ni nchi na ikipotea watakao
  kula hasara ni Wazanzibar wenyewe na kizazi shetu kijacho.
  Wasi sahau tu viongozi wetu wa smz kuwa wanajibebecha jukumu mbele ya
  M/mungu na maisha nimafupi, wao kazi yao kubwa kwenda mbio na maisha na
  kujilimbikizia mali ya zulma na kujiwekea A/c kubwa, A/c mbele ya Allah
  ni amali njema na kila kiongozi atahukumiwa kubebe zamana.
  Mungu ibariki Zanzibar na Wazanzibar wote
   
 2. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni bora yasichimbwe kwa sasa mpaka tupate serikali makini maana hata yakipatikana hivi sasa kwa serikali ya dr shein itakua ni chakula cha wakubwa na watanganyika tu lkn sisi wananchi tutaendelea kuteseka na dhiki ya maisha kutokana na roho mbaya za viongozi.

  Kwani matanganyika si wanachimba mpaka uranium lkn ktk maskini duniani wao ndo wafalme wa umasikini. Bora mafuta yaendelee kubaki baharini.
   
Loading...