Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba: Yanga SC tuachaneni na Morrison kwani Makambo anakuja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,535
Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie?

Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
 
Morrison ili aachwe anatakiwa akili kosa na timu iliyokua iki mtumia Sheria ya mpira wa miguu itumike.
 
Ki ukwel mwamba makambo akitua jangwani siku mkiona yanga inacheza shabik kaingia uwanjan kumkimbilia makambo ujue ndio mtaa umetulea hata asipo funga goli hata moja msimu mzima poa tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom