Waziri Wa Fedha Kujiuzuru

Status
Not open for further replies.

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,358
349
nimepata Tetesi Kuwa Waziri Wa Fedha Amejiuzuru Ila Chanzo Chenyewe Kwa Kweli Ni Mwanahabari Mmoja Ndani Ya Basi Akimpigia Mwezie Wa News Room Kuwa Aiwahishe!!!!!!!
Wakuu Siiamini Ila Kwa Sasa Ni Tetesi ,nendeni Ndani Wenye Meno
 
Hii sio laisi Bongo
anajiuzuru kwa lipi tena? maana hawa kwa makosa yao ya ndani kwa ndani hawawezi mpaka washikiliwe bango na wananchi ndio waachie

Haya ngoja tuangalie kama inaweza kuwa sio nyepesi
 
nimepata Tetesi Kuwa Waziri Wa Fedha Amejiuzuru Ila Chanzo Chenyewe Kwa Kweli Ni Mwanahabari Mmoja Ndani Ya Basi Akimpigia Mwezie Wa News Room Kuwa Aiwahishe!!!!!!!
Wakuu Siiamini Ila Kwa Sasa Ni Tetesi ,nendeni Ndani Wenye Meno

Labda ulisikia sababu ni nini? kweli hata mimi siwezi kuamini kwa sasa
 
Haya yanafanana na yale tuliyokuwa tunayapata:
Breaking News: Andrew Chenge afariki dunia
Breaking News: Mwanawasa afariki dunia

Sitaamini ila kama ni kweli basi nitashukuru sana maana naye huyu aliingia kwa style nzuri lakini baadaye akajiunga kwenye ngoma ile ile.
 
Bongo Mtu hajiudhuru bila sababu. Kama mkuu alivyosema hapo juu wanajiuzuru tu wakibebewa bango.
 
nimepata Tetesi Kuwa Waziri Wa Fedha Amejiuzuru Ila Chanzo Chenyewe Kwa Kweli Ni Mwanahabari Mmoja Ndani Ya Basi Akimpigia Mwezie Wa News Room Kuwa Aiwahishe!!!!!!!
Wakuu Siiamini Ila Kwa Sasa Ni Tetesi ,nendeni Ndani Wenye Meno

Mkuu kwani Tanzania tuna waziri wa fedha?...kwi kwi kwi...we dont have one for a long time.
 
Na kama alimlenga Mkullo, basi si kweli yupo ofisini Dar es Salaam kwa wakati huu. Labda kama alimaanisha waziri wa fedha wa Kenya.

Na kwa kauli hii naifunga hii topic. Thanks
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom