Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 907
- 347
Habari wakuu
Ni kilio kikubwa sana kilichotawala hapa Tz watoto wamepotezwa muelekeo wa elimu baada ya vigezo kupanda zaidi ya vile vinavotumika kwa baadhi ya nchi.
Imepelekea watoto wengi kuhofia kusoma sayansi kwa kuogopa vigezo vya juu kwa masomo ya sayansi na kushindwa kufikia ndoto zao za kwenda chuo kikuu.
Serikali iangalie suala hili kwa jicho la tatu, kuwa na two principle passes with atotal of 4.0 points kwa masomo ya sayansi ni mzigo mkubwa sana na mateso kwa watoto ukizingatia wengi wanasoma katika mazingira magumu.
[HASHTAG]#ahsante[/HASHTAG]