Waziri wa Elimu na Mafunzo Stadi unawaogopa mafisadi waliochini yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa Elimu na Mafunzo Stadi unawaogopa mafisadi waliochini yako?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mmaroroi, Jul 27, 2012.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kumekuwa na tuhuma mbalimbali zinazotolewa katika magazeti juu ya ufisadi unafanyika katika Vyuo vya elimu ya juu. kwa mfano kuna tuhuma za ufisadi katika Chuo Kikuu cha Tanzania na Chuo cha Mwalimu Nyerere-Kigamboni. Hakuna hatua za dhati zinazochukuliwa juu ya ufisadi huu. Wahusika katika JF mlione hili na mlifikishe kwa wahusika. Wana JF tuangalie ni kwanini Waziri wa elimu hashughuliki na mafisadi hawa? anawaogopa? au wengine ni wazazi wake?
   
 2. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mafisadi wote washughulikiwe bila kuogopwa ili kuimarisha nidhamu katika uongozi wa taasisi za umma.
   
 3. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Chuo Kikuu cha Tanzania ndio kipi tena mkuu?
   
 4. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  sijaelewa vile?
   
 5. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
   
 6. kibai

  kibai JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  anaitwa nani?
   
 7. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapo nimekuelewa kaka
   
Loading...