Brilliant internationary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 301
- 193
Waziri wa elimu pamoja na bosi wake bwana PM walichofanya sikubaliani nao.
Kitendo cha kuchukuwa mwalimu wa sekondari kumpeleka primary siyo kizuri kwanza hawa watu wamesoma mtaala tofauti mwalimu wa sekondari amefundishwa methodological zake tofauti na za primary.
Pili mwalimu wa sekondari hajajifunza jinsi ya kufundisha KKK sasa huku si nikuaribu elimu?
Naje hawa walimu waliosomea mambo ya primary si wako mtaani si muajiri kuliko kuharibu elimu?
Ushauri wangu ni heri serikali ipunguze walimu wa sekondari kwa kuwastaafisha kuliko kuwapeleka primary.