Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
Binafsi huwa napatwa na mhaho sana pale ambapo nakua naangalia utendaji kazi wa baadhi ya mawaziri ambao wengine ni maprofesa kabisa lakini wao kama mawaziri sioni contribution yao moja kwa moja wanasubiri wadau walalamike moja kwa moja kwa Rais then yeye anafuatisha maagizo.
Je, Wao hawawezi kusikiliza ushauri au malalamiko kwa watu na kwenda ku discuss na Rais kuona jinsi ya kuondoa hiyo adha au ku-modify aje atupe mrejesho?
Suala la malalamiko ya retention fee lilikuwa linapigiwa kelele muda mrefu ila Waziri mwenye dhamana yupo kimya tu na yeye akitoka mbele anakuja kugongelea misumari mule mule kwamba hivo ndio inavotakiwa ili HELSB wapate faida lakini leo hii anakuja Rais mwingine anaridhia kuondoshwa kwa makato na yeye anakuja Bungeni kupigilia msumari
Je, huku si kukosa msimamo? Sasa yeye kama Waziri kuna haja gani ya kukaa pale kama yeye hawezi kuwasikikiza wananchi na kututatulia matatizo yetu mpaka wanachi wayafikishe moja kwa moja kwa mkuu?

NAWASILISHA
Hotuba Wizara ya Elimu: Tozo ya 6% kwenye mikopo ya Elimu kuondolewa Julai 1. Pia Serikali itaondoa tozo ya 10% kwa wanaochelewa kulipa mikopo yao
Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa...
www.jamiiforums.com